Recent content by Luhan12

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kariakoo tuwaache wachina watufundishe biashara

    huo muda wa kumchunguza mkinga we uliupataje?.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

    Unaomba eneo la kujenga uwanja wakati hela ya kuwalipa wakata majani hauna
  3. L

    JamiiForums Tanzania Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

    nakazia mada
  4. L

    JamiiForums Tanzania FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

    nimeshiba futari yangu swafi kabisa sina time na wazungu wakina Mzaleee na kizungu chake cha darasa la pili C. Tangu lini msomi ambaye amefika angalau form four B anacomment shudu tena kwa kuirudia zaidi ya mara 5
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa Azam media sidhani kama kuna umakini kwenye upande wa usimamizi!

    pitia game za utopwiX then uanzishe threads kama hizi
  6. L

    JamiiForums Tanzania FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

    we utakuwa umeishia darasa pili wewe
  7. L

    JamiiForums Tanzania FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

    kweli banaa yaani goal keeper haijui thamani ya nembo ya GSM kwenye jezi aliyoivaa. pumbavu kabisa bora tusiwadhamini tena next season
  8. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Mafuriko ya Rais Samia katika Uwanja wa Mkwakwani

    wakati nipo shule Tanga school nakumbuka tushapanda sana zile bus za tashriff na tahmeed. eti wanafunzi twende tukajazane mkwakwani ilimradi ionekane kulikuwa na mwitikio wa raia. aibu sana hiki Chama Cha Mbogamboga
  9. L

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    aisee nilikuwa nachukizwa sana na wajinga ambao walikuwa wanang'ang'ana eti "mane anaibeba liverpool na sio salah" shenzi kabisa mnamjua egyptian king au wanamwona kwenye magazeti na tiktok.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Simba yaifuata Coastal Union Arusha bila Camara na Che Malone

    amka wewe utopwix
  11. L

    JamiiForums Tanzania Takwimu mbalimbali za soka la Ulaya wiki hii

    Kumbe kwa wazungu mwenye umri wa miaka 20 ni mdogo kuliko wa miaka 19!?. Mbona ni tabu juu ya shida
  12. L

    JamiiForums Tanzania Video: Vijana hebu oeni. Kuna mwenzenu huko Kaskazini amepiga punyeto hadi kufariki. Mnakwama wapi?

    Duh!. wakaba nyoka ndo hatua mliyofikia
  13. L

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    mainoo kashindwa kuwa kama last season. Ila inawezekana kwakuwa team nzima inavuja
Back
Top Bottom