Recent content by Lugombo Nsesi

  1. Lugombo Nsesi

    Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

    Mkurugenzi wa tiss huyo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Lugombo Nsesi

    Kwa wale tuliojikatia tamaa ya kupiga kura tukutane hapa.

    Wew utakua ni mwana CCM. Mumeshaanza mikakati ya kuwakatisha tamaa watz kwa hisia walizonazo. Muda utafika na muda utaongea. Rejea mifano ya nchi kama Ethiopia, Ghambia, Siera Leon. etc No suala la muda tu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Lugombo Nsesi

    Orodha ya Majeshi Imara Afrika

    Ngoja tubangue kwanza koro show.
  4. Lugombo Nsesi

    Uzinduzi barabara Kimara-Kibaha: Rais Magufuli asema hakuna atakayelipwa fedha za fidia kwa kubomolewa nyumba

    Tunapanga kutoa misaada Ulaya na Marekani. Nchi yetu tajiri
  5. Lugombo Nsesi

    Wakuu wa nchi wakutana Vienna, Austria (Africa Europe Forum 2018) sisi tuko wapi?

    Mtu mwenyewe hawezi kupangilia hotuba hata kama anaongea na wanakijiji wa Katoro pale Mwanza. Atapanga nini mbele za watu
  6. Lugombo Nsesi

    Wakuu wa nchi wakutana Vienna, Austria (Africa Europe Forum 2018) sisi tuko wapi?

    Utasikia hatutaki Ushoga sisi. Siku hizi hata Addis Ababa hawaendi kwenye AU. Eti hawataki Ushoga.
  7. Lugombo Nsesi

    Gazeti la Tanzania Daima limepigwa pini?

    Jaman msiwalaumu wanao shangilia unyanyasaji na dhuruma katika nchi hii. Mara nyingine muwe mnaangalia viwango vya elimu yao. Tafiti zimefanyika na majibu yakatolewa, wanaoshabikia utawala huu ni watu wa namna gani kielimu. Mnaumiza vichwa buree
  8. Lugombo Nsesi

    Tetesi: Baadhi ya viongozi kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda Ulaya na Marekani

    Niwakumbushe kidogo: Huyu jamaa alisema alikua anajaribu kugombea urais, bahati mbaya akapewa anayejaribu ili apate CV tu ya kua aliwahi kugombea urais. Tujilaumu sisi tuliyempa hayo madaraka makubwa. Sijui tulitaka aokote makopo ndo tumkatalie au atembee uchi.???? Hili ni fundisho kubwa sanaa.
  9. Lugombo Nsesi

    Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

    Alisema urais alikua anajaribu, kibaya zaidi tukampa anayejaribu kua Rais wa nchi. Hili ni fundisho la Karne zinazokuja. Mlitaka atembee uchi? Au mlitaka aokote makopo? Sina neno mie napita tu humu. ASANTENI SANA
  10. Lugombo Nsesi

    Shilingi ya Tanzania hoi, uchumi ukipaa kwenye makaratasi, dola haishikiki. Kuzuiwa misaada na mauzo nje vyachangia

    Jeshi letu Lipo imara na haliyumbishwi na kupanda kwa dola. Dola ikizidi kupanda jeshi lipo litaingia kwenye mabenki kufanya kazi.
  11. Lugombo Nsesi

    Godbless Lema: Tuliwaambia wajibu wa kutafuta haki ni wa kila mtu,mkatupuuza mkatuona hatujui thamani ya maisha tutalia na kuimba wimbo unaofanana

    Msiwachukie wanaotetea dhuruma ya serikali, hasa wapo tu hawaishi. Hata wakati wa Off Amin walikuwepo waliotayari kufa naye. Ni watu wasiokua na kazi, miradi yao ni kuomba omba tu. Ni kama fisi asiyejua kuwinda kazi yao kuvizia mizoga. Maarifa yao yapo kwenye simu kuwapigia hao mabwana kuomba...
  12. Lugombo Nsesi

    Tundu Lissu: Watesi wetu wakiona hivi wanapata maumivu makubwa sana

    Yule kenge akiona hivi anatoa macho. Maana nasikia waliotumwa kumuua Lissu na wao waliokotwa koko Beach kwa kushindwa kazi waliotumwa na mfalme. Viva Lissu, viva Tanzania
  13. Lugombo Nsesi

    Gari lililotumika kumteka Mo Dewji lina namba za usajili za Msumbiji

    Wanajua wanachokifanya. Kwa kifupi serikali imrudishe Mo
  14. Lugombo Nsesi

    Songwe: RC awaomba waliohamishia biashara zao Zambia kwa kushindwa kulipa kodi warejee nchini wazungumze...

    Tuliobaki ngoja tuendelee kuishi kama mashetani..... maana kila anaepata pesa ni adui kwake.
Back
Top Bottom