Recent content by lugom

  1. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto biashara za misimu

    Changamoto ninayo iona hapa nilipo Kuna vihardware vidogo vidogo ambavyo wanauza ivyo vitu vidogo vidogo kama bomba,PVC,vifaa vya umeme,nondo ,misumari, cement na zaidi.sasa nlikuwa na wish niwe tofauti kidogo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto biashara za misimu

    Serikali ya tz inatoa ajira Kwa walimu tu .Alafu kwani walimu wanatatizo gani.(🧠 Negativity)
  3. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto biashara za misimu

    Asante sana mkuu.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto biashara za misimu

    Habarin wanaJF .Mimi ni mtumishi wa umma katika mkoa wa mwanza vijijini nje na ajira nimekuwa nikifanya biashara ya mpunga Kwa kukusanya nakuweka stoo ukipanda bei nakoboa nauza, ambayo ukikusanya mwezi 6 almost unakuja kuuza kwenye mwezi wa 2 next year Kwa sasa mtaji wangu nikama 10M. Ila...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kufanya mtaji 30 milioni

    Thanks 🙏
  6. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kufanya mtaji 30 milioni

    🙏
  7. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kufanya mtaji 30 milioni

    Shida yenu vijana wa Tanganyika ndo hio mkiona mtu kaongea kitu akaeka na habari ya ndoa mnafananisha akili zenu na mihemko yenu ilio wafanya mkimbilie ndoa kwa kubugi jambo ambalo linawafanya mnajuta mbaka leo .Nikufahamishe tu kijana mwenzangu kwamba Tanzania hii hii kunavijana wenye focus...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kufanya mtaji 30 milioni

    Unanishauri nifanye ipi kati ya hizo pesa sio ya mkopo.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kufanya mtaji 30 milioni

    Ki Kivipi mkuu?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kufanya mtaji 30 milioni

    Juzi nimeomba ushauri kuhusu biashara ya kufungua pharmacy kwa mtaji wa 30m nitafute mwanamke mwenye diploma ya pharmacy nimuoe aje akae kwenye hio biashara. Ila comment na ushauri mwingi kutoka kwa waja walishauri nisije karibu kufungua biashara na kumuweka mke. Kwakweli Mimi kwaupande wangu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya pharmacy kwa mtaji wa Tsh. 30m

    Duuh!! ivi nikwel hawa viumbe wamefikia hatua hizo. Coz ukianzisha biashara kama hii ni kwaajili yenu wote wa wili na watoto wenu hapo badae, aje tena kukuibia na kukusaliti, kama ni hivyo hawa viumbe nimaadui sasa nasio wenza tena.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya pharmacy kwa mtaji wa Tsh. 30m

    Wamekarir maisha Hawa vijana wa bongo.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya pharmacy kwa mtaji wa Tsh. 30m

    🙏
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

    😄😄 Yan nikiona mtu anasema akioa ndo ataweza kuieshimu pesa huwa nachekaga sana nakuamin hapa duniani tuko tofauti sana naicho kinaniamisha mm ni kijana wa tofauti sana na lazima nitakuja kuwa tajiri one day.coz asilimia kubwa ya vijana wa bongo wanategemea msaada wa mwanamke kuja kuwafundisha...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya pharmacy kwa mtaji wa Tsh. 30m

    Namaanisha wakukaa dukani
Back
Top Bottom