Habari, kijana wa kiume natafuta bajaji ya mkataba au hesabu iwe kwenye hali yoyote muhimu iwe inatembea.
Au mtu mwenye uwezo wa kunisaidia kazi yoyote ya kufanya kwa sasa nipo dar
Elimu yangu form 4, ujuzi udereva leseni class a,a3,d pia nina uzoefu wa Kazi ya ufundi aliminium pia nilishawahi...
Habari wana JamiiForums?
Mim ni kijana me miaka 27, elimu form4 chet natafuta bajaji ya mkataba ama daily iwe kwenye hali yoyote yani mpya ama used.
Nb: Ni dereva mwenye leseni hai, uzoefu miez 4 barabarani.
Natumaini nitapata msaada wenu wanajamii forum hata wa kimawazo.
Simu namba; 0673664434
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.