Recent content by Lugodisha

  1. L

    PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

    Kwanini wewe unamwanudu lisu halafu unauliza swali? Ni suala la muda tu siku moja wewe na lisu wako mtajilaumu kwa kitendo chenu cha kushambulia wananchi wa geita na kanda ya ziwa kwa ujmla. Mtu yeyote mwenye nia na doto za kutaka kuwa kiongozi hatakiwi kuwa mbaguzi.
  2. L

    PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

    Mkoa gani hauna uwanja wa ndege?. Hifadhi ilikuwepo tangu enzi za ukoloni na katika hifadhi hiyo kulikuwa na majangili ya kila aina hadi kupelekea baadhi ya wanyama kutoweka. Katika kipindi chake ni miji mingi tu kwasasa imewekewa taa za bararani. Hakuna uwanja wa mpira uliokwisha jengwa kule...
  3. L

    PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

    Inaonekana hujitambui.wewe unatoka mkoa gani tukupatie miradi iliyojengwa kipindi chake. Jpm hadi kafufua na njia za reli zilizotelekezwa tangu kipindi cha nyerere kama vile Dar hadi Arusha na kwenyewe ni chato? Furaha yako ni kuona wananchi wa chato hawana mradi hata mmoja?.
  4. L

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

    Inaonekana wewe haujakomaa kisiasa. Huwezi kushambulia kundi kubwa kiasi hiki huku ukiwa na ndoto za kushika dola katika nchi hii.
  5. L

    Leo na Kesho: CCM izidi kutawala Tanzania

    Mbona hujayataja hayo matokeo?
  6. L

    Dhuluma za kiuchaguzi zisijirudie tena Tanzania

    Demokrasia mnayolilia ninyi ni ya mslahi binafsi sio jumuishi yenye kulenga kuleta mabadiliko ya nchi yetu kiuchumi na kuondokana na utegemezi wa misaada yenye masharti likuki.
  7. L

    Zitto Kabwe: Kwaheri John Magufuli, Buriani Tingatinga

    Mnavyohangaika utafikiri kuondoka kwa JPM njia itakuwa nyeupe kwenu wapinzani kushika dola kitu ambacho ni ndoto za mchana. Badala ya kushambulia mwili wa hayati JPM ambae wala hayamfikii mnayosema mgetumia mwanya huu kujijenga kisiasa kwa kuungana na walioumizwa na kifo hiki ili kuongeza idadi...
  8. L

    Zitto Kabwe: Kwaheri John Magufuli, Buriani Tingatinga

    Mambo mengine mengi mazuri ya JPM hujayesema ambao mlishindwa kuyapigia kelele. Kwa uchache tu ni kama vile kudhibiti wa mauaji ya walemavu wa ngozi, mauaji ya vikongwe, ujangili, biashara ya madawa ya kulevya, ujambazi, ufisadi, panya roads, wizi warasrimali za nchi hasa madini na gesi, mateso...
  9. L

    Mnapomuita Magufuli baba wa Taifa, mnakuwa mnamaanisha nini?

    Mbona mnateseka sana jamani? Hayati JPM ni shujaa wa Afrika. Hukuwasikio hotuba za Maraisi na viongozi wa AU, SADEC na EAC siku ya kumuaga JPM kitaifa pale Dodoma?
  10. L

    Rais Samia Suluhu akifanya kosa hili uongozi wake utakua mgumu sana

    Hata Mama Samia kaibuliwa na JPM na yeye kashuhudia hilo kwenye hotuba yake Dodoma. Viongozi wote walioibuliwa na JPM wangekuwa ni takataka tusingefikia hapa leo kimaendeleo.
  11. L

    Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

    Unafaa kuwa makamu wa raisi
  12. L

    Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

    Hao watu pori hawa haki kwenye nchi yao? Wewe si unapigania haki?
  13. L

    Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Uhuru na haki zipi mlizozikosa wakati wa JPM ambae alikuwa mtetezi wa wanyonge na watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yao. Juhudi zake za utetezi wa haki za wanyonge kakomesha ufisadi, ujambazi, wizi, rushwa na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi na mauaji ya vikongwe kwa imani za...
Back
Top Bottom