Recent content by Lugendo13

  1. L

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mbona walitaka sisi tukubali matokeo na wao sasa wanagoma?

    Aibu yao. Wamezoea vya kunyonga, vya ku.....hawaweze, maana hawajazoea. Utamaduni mgeni huu. People´s power itawalazimisha tu.... Big up sana chadema
  2. L

    JamiiForums Tanzania GE2010 Vurugu Mbeya Shule ya Loleza sekondari yachomwa moto

    Kwa ukweli inashangaza kuona chama kikongwe kimekuwa kikihubiri wapinzani kukubali matokeo. Hali ikionekana inakula kwao, basi wao wanakuwa wa kwanza kutokukubali kupokea matokeo! Hii imethibitika maeneo kama ya arusha, mwanza, hai, na sasa mbeya. Lakini maeneo ambayo chama hicho kikongwe...
  3. L

    JamiiForums Tanzania GE2010 Bunge la kipindi hiki litatisha!!....

    Umemsahau Zitto Kabwe
Back
Top Bottom