Chikwete is a pretender when he says power rationing and blakouts are caused by drought it is unconceivable. Really this is a lame excuse from somebody who is not serious at his position. Everybody is surprised while we have an unending menu of alternative power , he is still crying for power...
Hairs! this is just ana impact poorly planned programme. tanzania tuna perenial rivers kama kalambo falls na lumakalya yenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya megawata 250 . siasa nchi zinaua . hakuna mkakati wa dhati ispokuwa mkakati wa kisiasa zaidi. dodma jangwa ilikuwaje waweke dam kule badala ya...
this is just ana impact poorly planned programme. tanzania tuna perenial rivers kama kalambo falls na lumakalya yenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya 250 . siasa nchi zinaua . hakuna mkakati wa dhati ispokuwa mkakati wa kisiasa zaidi. dodma jangwa ilikuwaje waweke dam kule badala ya kalambo na...
Uozo uozo mtupu . Viongozi wa tanzania mbendembende. Hivi mnasubiri nini kumuondoa kabisa bwana jairo. Bwana harudi hadi desemba, 2012? Hatuna watu hapa . unaonaje mwizi wa kuku hana rufaa wa kusomewa mashtaka .hiyo natural justice the guy is enjoying where does it emanate? eti preliminary...
umeona eee!
Sasa kumpeleka likizo yenye malipo mwizi ni stahili gani hii bwana luhanjo. Nchi hii inaongozwa kwa sheria au mtu? Natural justice kawaulize vibaka wanouawa kwa wizi kuku wa sh.5000-6000. Hiyo natural justice ambayo jairo anainjoi ni ufisadi pia .
Tatizo ni urafiki alio nao kikwete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.