Recent content by lufulondama

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ninunue simu gani kati ya hizi kwa bajeti yangu isiyozidi 600k?

    Agiza aliexpress duka linaitwa hongkong goldway store utaipata wiki mbili tu au pungufu kwa aliexpress standard shipping
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ninunue simu gani kati ya hizi kwa bajeti yangu isiyozidi 600k?

    Hio simu kenya na aliexpress haifiki laki 7 jiongezen muweze nunua wenyewe ngoja nikupe ushahidi apa
  3. L

    JamiiForums Tanzania Anker products special Threads

    Soundcore motion boom plus iko njiani kutoka may 30ikiwa na maboresho makubwa sana wadau mjipange kwa hili Anker iko njema sana sana
  4. L

    JamiiForums Tanzania Anker products special Threads

    Soundcore motion boom plus iko njiani kutoka may 30ikiwa na maboresho makubwa sana wadau mjipange kwa hili plz
  5. L

    JamiiForums Tanzania Anker products special Threads

    Basi tukae huu n uzi wetu uendelee na udumu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: ATCL yashindwa kutua Comoro na kurudi Dar es Salaam kufuatia hali mbaya ya hewa

    Heri umemuambia, yeye kaona kitendo kile ni sahihi kumbe ni risky kubwa ingetokea la kutokea wangemnawa salimu ndio angejua hajui
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Chinese version n tamu sana naitamani sana hio
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Kwa hio bei ni bei nzuri sana ila changamoto app kama za benki mkuu tunawekaje humo
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mwenye samsung A52 nzima nzuri na isiwe ya wizi aje hapa
  10. L

    JamiiForums Tanzania AZAM TV Mjitafakari na Bei Zenu za Ving'amuzi, DSTV Wameamua

    We nawe FORTALEZA endelea kulike tu akati ma mikeka yako deily unanibania hadaika tu na hii Id nakuchora tu
  11. L

    JamiiForums Tanzania AZAM TV Mjitafakari na Bei Zenu za Ving'amuzi, DSTV Wameamua

    Mkuu mie kuna mda hua naiona 50ni cheaper pia ya dstv kuliko ku stream ila inategmea kumbuka zuku package zake ni cheaper kuliko dstv packages pia kwa walioko mjini
  12. L

    JamiiForums Tanzania AZAM TV Mjitafakari na Bei Zenu za Ving'amuzi, DSTV Wameamua

    Tv nzuri ni android ndio ziko poa
  13. L

    JamiiForums Tanzania AZAM TV Mjitafakari na Bei Zenu za Ving'amuzi, DSTV Wameamua

    Ni pre installed and installed app from google play store mkuu android unyama sana
  14. L

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Asante mr Abdalla Rashid deal done mnyama phillips amefika boda ya Mozambique
Back
Top Bottom