Recent content by lucz

  1. L

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Ubungo kuweni macho na huyo Kubenea

    Huo upuuzi wameshaurudia kwa kumchagua kubenea yaani wananchi hawajielewi. Kama chadema inatatua kero za wananchi kwa nii mnyika akimbie jimbo. Mtu aliefanya vizuri kwenye jimbo lake hawezi kukimbia jimbo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kyela hali mbaya, mwandishi apigwa

    Ndio maana muliambiwa malofa. Mmejaa ujinga sasa hapa unahamasisha nini mulizani ikulu ni ya kaskazini. Mtaisoma number mwaka huu.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Steven Wassira adai hakubaliani na ushindi wa Easther Bulaya

    Wamwache kwanza mpaka usingizi wake uishe tumemchoka kusinzia bungeni
  4. L

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Hashindi huyo kimeo wenu hapa kazi tu ndio mpango mzima.
  5. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

    Ccm imeongoza kwa kuchukua kata zote katika majimbo mbalimbali kushinda ukawa.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Majirani wanamcheka mpenzi wangu

    Thanks kwa ushauri.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa sana tumbo

    Anza kutumia juice ya carrot asubuhi na jioni kabla ya chai na kabla ya kula. Kunywa glass moja.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Majirani wanamcheka mpenzi wangu

    Thanks kwa ushauri wako nitaufanyia kazi.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Majirani wanamcheka mpenzi wangu

    Mhh yamekuwa hayo.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nilichokutana nacho jana Temeke sina imani na wanawake wa Dar

    Jina lako linaashiria ww ni mnyaru. Na wanyaru hawana tabia za kununua hizo bidhaa.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Majirani wanamcheka mpenzi wangu

    Anaishi kwa ndugu yake.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Majirani wanamcheka mpenzi wangu

    Tuongee nini baada ya kunipa ushauri.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Majirani wanamcheka mpenzi wangu

    Sio mwalimu.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Majirani wanamcheka mpenzi wangu

    Ila nataka kodi ikiisha nihame. Maana mambo ya kufuatilia wageni wa mtu sio vizuri
  15. L

    JamiiForums Tanzania Afya na mazoezi ya viungo

    Hiyo kamba ya mazoezi unaweza kuipata supermaket
Back
Top Bottom