Recent content by Lucy Joseph

  1. L

    Wizara ya Afya kuwabana Madaktari wanaofanya kazi Serikalini na sekta binafsi kwa wakati mmoja

    Asantee waziri kwa kuliona hili, hili pia huchangia wagonjwa kufa kwani mtu ha steak kwenye kitu kimoja ,waswahili wanasema, mtaka vyote mkosa yote, kazi moja inawatosha wapishe ambao hawana kazi nao wapate ajira
  2. L

    CHADEMA ni Taasisi kubwa, ninawaomba viongozi waiendeshe kitaasisi

    Kama angekuwa hapendwi asingepata ushindi wa 84.%
  3. L

    CHADEMA ni Taasisi kubwa, ninawaomba viongozi waiendeshe kitaasisi

    Unajua kinachoendelea wewe au unaongea tu, CHADEMA mmeshakosa Soko
  4. L

    CHADEMA ni Taasisi kubwa, ninawaomba viongozi waiendeshe kitaasisi

    Hakuna alopanik ,nawala hiyo kauli hautitishi kama tuligoma kukaa ndani kwaajili ya corona ndo sembuse hii, Hatuko kwaajili ya mabeberu tunafanya kile tunachokiona kiko sawa, acha watumikie adhabu zao maana wamezidi, na wananchi wamewachoka hawajui tuu
  5. L

    CHADEMA ni Taasisi kubwa, ninawaomba viongozi waiendeshe kitaasisi

    Kwanza sasa hivi CHADEMA ishakufa ilikuja kwa kasi kama ilivyokuwa CUF sasa na hii ni wakati wake, Tutakuwa tunazungumzia chama kingine lakini sio CHADEMA tena , Nilikuwa nawa zoom tu kipind cha kampeni , wa Tanzania sio wajinga, wameona ukweli uko wapi, hivyo watuache na nchi yetu kama...
  6. L

    GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    Na wewe ni mtumwa ? Maana sijui unataka msaada gan kwa hawa watu, hawana utu hawa,utawafatisha siku ya siki wanakugeukia. Ila ndugu acha Uzwazwa hii ni nchi yetu, tunauhuru wa kuamua majambo yetu, hawa wamekosea wanatakiwa wawajibishwe kisheria, walitaka kutulipulia nchi yetu ,kwa maana ulipenda...
  7. L

    GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    Mnaangamia na nani, hivi wewe ni Mtanzania kweli, kwani wamekamatwa bila ya makosa, unajua kinachoendelea, hao unaowataka wamepanga kulipua nchi, wakiachiwa hata wewe hutokuwa salama ,acha wakamatwe na hii kauli ya huyu babu wala haitutishi, serikali itaendelea kuwashikilia na kupelekwa...
  8. L

    GE2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

    Hebu peleka ujinga wako, lissu amekuwa wa kwanza kunadi vurugu, na kwa uwezo wa mungu tarehe 28 tutashinda na amani itaendelea kutawala.... Chaguo langu ni Magufuli [emoji169][emoji172][emoji736][emoji736]
  9. L

    GE2020 CCM yataja siri ya wagombea wake kutoenguliwa NEC

    Hakuna anaebebwa kama makosa mmeyafanya nyie kwa stress zenu mnafanya mambo kwa papara, CCM ina uhakika itashinda kutokana na kazi nzuri ilofanya na kwakuwa wanasera pamoja na ilani iliyoshiba. Kura yangu kwa Magufuli
  10. L

    GE2020 CCM yataja siri ya wagombea wake kutoenguliwa NEC

    Na haitokuja kutokea maana mpaka sasa ulipanzi hauko strong ,wenyew kwa wenyew wanagombana[emoji23][emoji23] Just imagine siku zimebak chache kuelekea kwenye kampeni alafu mrafaruku unatokea kati yao, mnawaweka sehem gani wapiga kura, Me nawaombea waendelee kugombana hivyo hivyo mpk siku ya...
  11. L

    GE2020 Dkt. Magufuli ataka Watanzania kukataa ubaguzi

    Bakini na mawazo mgando hivy hivyo, hamjui kwamba anty li ni mbaguzi, alishasema hatokuja kukaa na kufikiria kuwapeleka watoto waze shule za kata tena kwa kejeli, sio hiyo tu anadharau mpaka lugha yetu ya Kiswahili, lakini pia hana huruma na wa Tanzania kwani ni mtu alokuwa akihubiri sana...
  12. L

    GE2020 Dkt. Magufuli ataka Watanzania kukataa ubaguzi

    Kusema hivyo sio ubaguzi, kwani tumeona Maeneo mengi ambayo unaupinzani na kapeleka huduma za jamii, mfano mzuri Kilimanjaro ambapo upinzani umesheni ingawa sasa hivi majimbo yote CCM tunayachukuwa, kapeleka miradi. Nani kama Magufuli, Tarehe 28 kura yangu kwa #Magufuli.
  13. L

    Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

    Hahaha ndo maan me sina imani na upinzani ni waongooo...sijapata kuona, wanajikanyaga wenyewe... Mimi kura yangu itaenda kwa Magufuli wabunge na Madiwani wa CCM maana ndo naona wanamchango kwa Taifa letu la Tanzania,
Back
Top Bottom