ni kawaida kwa binadam kuapa kutorudia kitu ambacho kimewasababishia maumivu,especially kwenye mapenzi yaliyosababisha maumivu,lakin c ajabu mtu huyo huyo kupenda tena sababu ni binadam wala c malaika,so ma friend worry out about loving again,Mungu amekuandalia mwenzi wa maisha ambaye atakupenda...