Recent content by Luckytz

  1. Luckytz

    10% za mikopo kwa vijana zimefunguliwa tena

    Vigezo muhimu - Muwe katika kikundi cha watu 5 waaminifu - Kila mtu lazima awe na namba za nida - Umri ni kuanzia miaka 18-35 kama ni vijana (me) na kwa wanawake hakuna kigezo cha umri - Mtaenda halmashauri kusajili kikundi chenu gharama ni 5k - Mtapewa katiba humo kuna maelekezo ya...
  2. Luckytz

    Bongo uaminifu na kuaminiana waislamu wako mbali sana

    Nafanya kazi na vijana wawili wa dini hiyo mwaka wa 5 huu hatujawahi kuonana lakini kazi inaenda fresh tu Kazi yangu ni kuwafungia mizigo na kuwatumia, mauzo wanafanya wao na hela yangu wananitumia kwa uaminifu mkubwa tu Huko kwingine nilishapigwa sana [emoji2][emoji2] uaminifu ni zero
  3. Luckytz

    Bongo uaminifu na kuaminiana waislamu wako mbali sana

    Mimi mwenyewe ni shahidi kwenye hili
  4. Luckytz

    Huu mwaka mgumu ni kipindi cha mavuno lakini bei za vyakula hazishikiki

    Debe la mahindi imeshafika 13k babati na sehemu zingine za mkoa wa Manyara
  5. Luckytz

    Njoo utupe mbinu za kupata wateja online kwa wepesi

    Muuzaji anatakiwa kuwa na uweledi wa kutosha juu ya kile anachokiuza kwa mteja...mfano wewe unauza handbags unatakiwa kuwafundisha wafuasi wako namna ya kutambua handbags original na fake...hapa utawaaminisha wateja wako kuwa una utaalam katika eneo lako hivyo wengi wataamua kutoa oda au kununua...
  6. Luckytz

    Njoo utupe mbinu za kupata wateja online kwa wepesi

    Tengeneza authority katika biashara unayotaka kufanya ili uaminike kwa wafuasi wako.
  7. Luckytz

    Nataka kuanza biashara ya kuuza bidhaa mitandaoni, delivery knowledge ndo sina

    Umemaliza kila kitu mkuu, wanunuzi wengi mtandaoni hawapendi gharama za ziada tofauti na bei anayonunulia bidhaa zake, hiyo mbinu inaitwa DECOY PRICING...
  8. Luckytz

    Jipatie Logo au Label + Ofa ya bure ya design za letterhead, biz Card & invoices

    logo ya social media account ni bei gani mkuu?
  9. Luckytz

    List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

    Naomba bei ya mashine ya kumenya kitunguu swaumu (garlic peeling machine) Kipilipili
  10. Luckytz

    SoC01 Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni

    Tunashauriwa tuandike kwa kushawishi hadhira, yaani mtu asichoke kusoma makala yako. Naomba key points za kuzingatia wakati unaandika nakala (post) za mtandaoni ili zipate engagement kubwa...Nitashukuru sana
Back
Top Bottom