Recent content by Lucky sane

  1. L

    Mwalimu nyerere memorial academy

    Nimeingia adi kwenye websites yao bila mafanikio mkuu
  2. L

    Mwalimu nyerere memorial academy

    Wakuu naombeni msaada kwa aliyepata joining instruction ya mwalimu nyerere memorial academy kwa kozi za diploma maana nimetafuta nimekosa
  3. L

    Naomba msaada wenu asome kozi gani kwa matokeo haya

    Kwel mkuu aende akachukue ujuzi veta utamsaidia
  4. L

    Mnaoomba Vyuo vya Afya muwe makini hasa vya 'Private'. Wenzenu wa Muyoge wanalia

    wakuu vipi na kile chuo cha st.john college of health mbeya kipo vizur??
  5. L

    Kwa ufaulu huu naweza pata chuo cha Government Diploma?

    Wakuu naomba mnisaidie Mimi nimehitimu kidato cha NNE mwakaa 2019 nikapata Chemistry-C, Biology-C, M aths-C, Geo-C, Physics-D, Hist-C, Kiswahili-C na English- C, nina 2point 21 he ninaweza kupata chuo cha Serikali kwa koz ya clinical officer kwa ushindani uliopo saizi
Back
Top Bottom