Recent content by Lucky Said

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki

    Hapana,umeona vibaya,hiyo ni laki na sio lusi.
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Real love

    Kwa nini wazazi kazi wawenayo?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha makalio makubwa

    Yeah nadhani vyakula wanavyokula,nguo,na kutofanya mazoez ndio chanzo.
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Real love

    Aisee ndugu zangu,always mapenz yana run dunia,sisi Wavulana tunavumilia sana shida than girls. {kuhusu kusoma ucjali,mi nasoma but siwez kufikia hatua ya kuweka post makaburini,hahahaiahahahahaha,you make me happy guys.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha makalio makubwa

    Nikisema zamani,simaanishi enzi za mitume,namaanisha kuanzia mwaka 2009,nadhani nilikosea kidogo.
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Real love

    Napenda kua na mpenz mwenye umri usiozidi 19.
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki

    Iam a simple guy,nahitaji marafiki wa kike kwaajili ya kuchat.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha makalio makubwa

    Aiseee,yaani nimewapata kinomanoma,nashkuru sana kwa mchango wenu,yaani wachina watawamaliza ma Dada zetu mwaka huu.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha makalio makubwa

    Jamani wenzangu naomba tusaidiane kitu kimoja,hivi ni kwa nini mabinti na wanawake wengi wamekua na makalio makubwa,na kwa nini iwe siku hizi na isiwe tangu kipindi cha nyuma? Naomba tusaidiane jamani.
Back
Top Bottom