Recent content by Lucky One

  1. Lucky One

    Tabia ya wazungu wa kike.

    [emoji23][emoji23][emoji23] kudadeki embu asome Huko
  2. Lucky One

    Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

    Umenipa moyo mkuu [emoji123]
  3. Lucky One

    Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

    Asee natamani sana kujua kuchora, yaani navutiwa kutaka jifunza kabsa
  4. Lucky One

    Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

    Hakunaga control hapo mrembo Itafika muda utajaribika kujaribu zali lako
  5. Lucky One

    Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

    Hivi wakuu hivi uchoraji ni kipaji mtu anazaliwa nacho au ni utaalamu ambao waweza jifunza
  6. Lucky One

    Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

    Kuna mdada tulikubaliana kuwa marafiki vikanishindaga mapema tu Mambo ya kuwa na buyu la asali alafu usichovye ...mateso gan hayo bora ujue moja utambae
  7. Lucky One

    Wanaume....!

    Bila shaka uko single kwa sasa Ukipata muda njoo tupotezeana muda
  8. Lucky One

    Ukiwa na vitu hivi halafu upo hivi, Utawamaliza wanawake kwa kweli

    "Hii chai ya leo ina tangawizi kali sana .....mpishi katuweza " ilisikika sauti ya kusikojulikana
  9. Lucky One

    Mitego mahiri ya kunasa warembo

    Huyu mwanachama wetu anatusumbua sana mkuu
  10. Lucky One

    Kwa wale ambao wako kwenye strong relationship

    Hii strong relationship ndo ipoje wakuu Sifa zake zibainishwe ili tuijue vzuri
  11. Lucky One

    Members wengi humu ni madomo zege

    Tunasikitika kukupoteza mwanachama mwenzetu ww ulitegemewa kuwa nguzo imara ndani ya chama. Wanachama wachache kama nyie pasipo kufuata utaratibu mmeleta sifa mbaya kwa CHAZETA
  12. Lucky One

    Members wengi humu ni madomo zege

    Mimi kama katibu ningependa kukujulisha julisha kuwa mitongozo yetu ni salama, yenye ustadi, yenye uhakika wa mafanikio na yenye kufuata hatua zote za ubora wa utongozaji kama ilivyoainishwa na viwango vya ubora duniani.
  13. Lucky One

    Je, unaweza kulala kwenye chumba pamoja na watu wawili wanaofanya mapenzi?

    Afadhali wapo wenye experience zao hapa Tungelishwa tango hv hv
  14. Lucky One

    Members wengi humu ni madomo zege

    Chama Cha Madomo Zege Tanzania (CHAZETA) kinawaasa wanachama kuwa watulivu kusubiri kauli ya chama juu ya upotoshaji huu. Ahsanteni Katibu Mkuu Taifa CHAZETA
Back
Top Bottom