Recent content by luckp

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Obama kuhusu Ukristo yazua kizaazaa

    Jaslaws Siku zote ukweli huumiza sana, penye ukweli uongo hujitenga. Hapo mtakuja na kejeli juu yake lakini ndo ameshasema na ukweli ndo huo
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi moto UWAKITA wasema watazunguka nchi nzima kuikataa katiba mpya

    Tatizo halipo kwenye uendeshaji, kwani ukiangalia uendeshaji wa hospitali nyingi za wakatoliki unagharamiwa na serikali, mishahara ya wafanyakazi inatoka serikalini, mbona hilo halisemwi
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Too shame. Unaita hela ya nchi unayoiongoza hela ya madafu!!? Tumefika mbali Watanzania
  4. L

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuikataa CCM Kagera hizi hapa

    Hongereni sana wana kagera, huo ni ushujaa
  5. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Saada Salum Mkuya ulilidanganya bunge kwa faida ya nani?

    Lazima atetee, alijua na yeye sakata litamgusa. BOT ipo chini ya mamlaka yake
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mbunge CCM azomewa jimboni kwake kwa Kumtetea Tibaijuka sakata la Escrow

    Huyo ni mpuuzi, yaliyomkuta ndo yanayomstahiki
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ludewa: Waziri Pindi Chana aichangia elfu 15 Shule iliyoezuliwa kwa Upepo

    Bila shaka hiyo ni pindi
Back
Top Bottom