Recent content by lucasgidion

  1. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye awasimamisha kazi vigogo wa TBC kutokana na utendaji usioridhisha

    Nape anapenda sifa ametoka kwenye michexo kaingia kwenye tbc mwambie kwanza aonyeshe bunge live ndo 2mwelewe lasivyo 2naomba mwongoxo
  2. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Wazee ndo wanalala wanashindwa kutekelexa majukum yaooo vijana pia wanahucka kwenye uongoz bwana
  3. L

    JamiiForums Tanzania Je Mwakyembe atarudisha katiba ya Warioba?

    Mwakyembe atapiga kaz bwana mbona mzr tuuuu
  4. L

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) amtaka Rais Magufuli asafiri Nje ya Nchi ajifunze kwa wenzake

    Ukijitenga watakutenga mh.magufuri namshauri asafri
  5. L

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) amtaka Rais Magufuli asafiri Nje ya Nchi ajifunze kwa wenzake

    Alishasafri kimasomo xio kwa dhiara ya kikaz
  6. L

    JamiiForums Tanzania Stanslaus Mabula: Nyamagana msirudie kuchagua wakimbizi

    Jaman ila mabula kafricka kiakiri na kisiasa manano gan hayo anaongea
  7. L

    JamiiForums Tanzania Stanslaus Mabula: Nyamagana msirudie kuchagua wakimbizi

    Mwambie ubaguz xio dili kwanza anaongea hvyo wakat kes inaendelea mahakaman kes ya jimbo lake aache upuuz wake hamna mzawa hapa bongo wote wa kuja
  8. L

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi: Lowassa ajieleze kama ataendelea kubaki CHADEMA akikatwa jina 2020

    Mmeishiwa jipya kaz kufatria ya wenzenu
  9. L

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi: Lowassa ajieleze kama ataendelea kubaki CHADEMA akikatwa jina 2020

    Sungura naona unataka kutuvuruga ww
Back
Top Bottom