Recent content by lucas mjema

  1. L

    Jiunge na mfuko wa afya ya jamii!

    Mfuko huu ni muhimu sana hasa kwa watu wenye matatizo ya ya kudumu / magonjwa sugu ambayo tiba zake ni aghali mno kwa mwezi unakuta m2 anatakiwa dose ya 50000 na zaidi ukiwa na bima hata kama hspt hazipo dawa unapewa form ya kuchukulia dawa hizo katika maduka binafsi, ni kweli hujazipatia...
  2. L

    ITV hawajui wakifanyacho Kwa Kufanya Siasa Chafu kupitia TV yao!

    Kuna wana sheria lhrc nao ukawa? angalia Mlmani TV wasomi na wachambuzi wa siasa wote wanatoa elimu juu ya katiba kwa kuwa wewe ni gamba bac hutakin kusikia mapungufu na uvundo wa katiba yenu! Fungukeni na kuwa huru kifikra.
Back
Top Bottom