Recent content by lubunju majolo

  1. L

    Dr. Slaa anatumika kuhakikisha Lowassa anaingia Ikulu 2015

    Hivi mbona huyu DR. SLAA mnamuandama sana? mbona kuna wabunge wametamka waziwazi kummunga mkono Lowassa na watu mmenyamaza kimya?
  2. L

    Wema Sepetu Gambani

    wema hivi hachoki kuwa komedia kila wakati? panzi ndiyo ajibanze kwa maustaadhi hao duh?
  3. L

    Siku CHADEMA ikifa

    CDM yaweza kufa kwa sababu ya juhudi za mamluki wachache, lakini lililo bora ni kuwa fikra hazifi, wengi wenye fikra chanya wataifufua CDM na kufikia maono na malengo ya umma!
Back
Top Bottom