Recent content by lubhambo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wakati Watanzania ‘ mkiwaogopa ‘ wale Walinzi wa JPM wenye Silaha ila Mlinzi wa Rais wa Malawi ndiyo anatisha dunia nzima

    Hata walindwe vipi, lakini siku moja watakufa tu na kuwa mavumbi.
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi ni mabubu kitandani mjiongeze

    Huna adabu Sent from my HUAWEI Y520-U22 using JamiiForums mobile app
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa reli ya kisasa (SGR), mwamba wa changamoto za usafirishaji nchini

    Ninaona fahari kuweka historia ya kufanyakazi katika mradi huu.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Bunge imekanusha kuwa Spika Job Ndugai hajaandika barua inayotoa wito kwa CAG, Prof. Mussa Assad kujiuzulu ama kujieleza

    Kwa sisi wenye hekima tunaona huo ndio mwanzo wa spika kumuangukia CAG kiaina
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili niitwe kamati ya uongozi na haki za Bunge?

    Dharau kiti utaitwa faster mbele ya mzee mkuchika, ukitoka hapo unapelekwa kwa wasiojulikana ukang'olewe kucha.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Serikali Ondoeni Elimu ya Kidato 6 Vyumba hivyo vitumike kwa mashule ya VETA, Ushauri wa Prof. Kamuzola unafaa kwa hili.

    Big up mtoa mada, kwa maoni yangu nikamba watoto waliofaulu four wapelekwe kozi ya ufundi walau mwaka mmoja kisha miezi 6 jkt, wakimaliza ndipo waingie university, pasiwepo advance level.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    Tuliwaambia wakatubishia, haya sasa wakoloni wetu nao wanashauri mradi huu usifanyike badala yake tutumie gas tulioachiwa na ndg yetu JK.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Viongozi wetu wa kiserikali wapewe taarifa za vikao mapema kuepusha mwendokasi/ajali kutoka na kwenda Dodoma

    Viongozi wa kiswahili walio wengi hatakama wamesoma, hawako smart katika muda na kuheshimu ratiba, ndio maana kila siku wanasafiri kama wanafukuzwa na majambazi.
  9. L

    JamiiForums Tanzania TUCTA imewataka Wafanyakazi wawe watulivu na wavumilivu

    TUCTA legelege inaumiza wafanyakazi wa nchi hii.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu SSRA: Kiuhalisia michango yote ya mstaafu ni 20% ya mshahara wake so 25% inampa ziada ya 5%

    Waliotufikisha hapa pabaya ni Bunge letu chini ya spika na naibu wake.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Jakaya Kikwete akutana na Mchungaji Msigwa

    Mchungaji anamwambia ' nyie maraisi wastaafu ndio
  12. L

    JamiiForums Tanzania Fao la kujitoa na kukosa kazi..tucta wamepuuza?

    Kufuta fao la kujitoa ni ukandamizaji mkubwa sana unaofanywa na wabunge maccm kwa maagizo ya stone bridge...
  13. L

    JamiiForums Tanzania TUCTA yaianika serikali ya CCM ubabe wa kuwaibia watumishi mafao yao

    Bado naamini katika fao la kujitoa badala ya kusubiri nizeeke ndio nianze kupimiwa hela zangu kwenye kijiko kwa kila mwezi.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali wa Taasisi za Umma

    Kuwateua vikongwe hawa waliokwisha staafu baada ya utumishi wa mingi katika taifa letu, ilihali mtaani kuna wasomi wazuri tu, huo ni ubaguzi.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nani kuiwakilisha Tanzania Mazishi ya Koffi Annan?

    Kura yangu kwa mheshimiwa JK ndiye atuwakilishe msibani.
Back
Top Bottom