Recent content by LUBENGULA1884

  1. L

    Kauli ya Lema

    Ukisikiliza kwa makini maneno haya kweli utatokwa na machozi na mtu wa mwenye hekima atakayaunga mkono yatia majonzi na hasa ukikumbuka maisha ya ndg zetu kijijini ccm Mungu atawaadhibu siku si nyingi
  2. L

    Game on - CCM kukata rufaa ushindi wa Lema

    acha waende maana kama majaji na mwanasheria mkuu wa serikali kashaamua yatakuwa kama yale ya Mama wa Ubungo anakata rufaa halafu anaingia mitini aibu wasubirie mwaka 2015 hapa watapoteza muda wao bahati nzuri leo niliwaona akina mama fulani wamevalia wavazi ya kijani mbona ilikuwa aibu sana
  3. L

    Mapokezi ya Lema ni kesho ndani ya jiji la Arusha kuanzia KIA

    Kama dar asubuhi kila mmoja alikuwa akiongelea habari hii ya Kamanda Lema na bahati mbaya kuna wanachama wa CDM walichelewa kwenye foleni wakafika tayari rufaa ilishasomwa zamani tu watu leo stori ilikuwa itakuwaje kama kawaida ccm wakatuma maji washa mabomu na askari wa kumwaga kesho sijui...
  4. L

    CHADEMA itakufa kwa sababu hizi, sio propaganda

    Jamani nimeamua kujiregister kwa ajili ya mtu huyu kama huna kazi za kufanya nenda makao makuu ya ccm utapewa hata kufangia ofisi ya Nape
Back
Top Bottom