Recent content by Lubar

  1. L

    Shamba linauzwa kwa bei nafuu

    Jamasike kama huna hela nyamaza usikatishe watu tamaa,Kimbiji kuna bahari unasema hamna ishu?
  2. L

    Shamba linauzwa kwa bei nafuu

    Wewe ambae hujawahi kufika ndo unasema hivyo,Kimbiji inakua kwa kasi ya ajabu.
  3. L

    Shamba linauzwa kwa bei nafuu

    Shamba lipo mita 100 kutoka barabara kuu iendayo baharini,kumbuka Xfactor,hii ni Kijaka ya mwenyekiti Biko.
  4. L

    Shamba linauzwa kwa bei nafuu

    Habari za leo wakuu. Ninauza shamba langu nimepata shida,lipo Kijaka kata ya Kimbiji wilaya ya Temeke,lina ukubwa wa heka 1 bei ni sh mil 5 hakuna dalali. Kwa mawasiliano no ni 0768334637. Natanguliza shukurani.
  5. L

    Nyumba inapangishwa 250,000/= kwa mwezi

    Ina umeme?
  6. L

    Natafuta chumba cha kupanga

    Unapotaka chumba usichague eneo 1 kama huko hawajajenga kama unavyotaka? njoo Kinondoni mkwajuni piga no hii 0768334637 utapata chumba hicho
  7. L

    Malipo baada ya kununua Shares

    Huyo broker utamuamini vipi?
  8. L

    Tunauza magari kwa bei nafuu sana

    Toa mchanganuo wa bei tujue ili tushawishike kupiga simu
  9. L

    Internet inaweza kukufanya kuwa tajiri

    Utuambie ni jinsi gani tunaweza kuwa tajiri kwa kutumia internet
  10. L

    Msaada: Kifaa cha kutambua Madini

    Nimeshindwa ku upload picha kutoka kwenye simu ngekutumia vifaa uvione.Ila vifaa vipo
  11. L

    Shamba linauzwa, lipo Kimbiji

    Shamba linauzwa heka 1, lipo Kijaka kata ya Kimbiji wilaya ya Temeke, bei ni sh 5mil, mawasiliano 0768334637
  12. L

    Jinsi ya Kujitoa kwenye Dhuluma za Vodacom

    Inaonyesha unatumia smart phone,zima mobile data ujiunge halafu ndo uwashe mobile data
Back
Top Bottom