Ndio maana nikakwambia kwamba huna elimu kuhusu Israel, kuna mengi huyajui ila unapayuka kama umepigwa mjeledi, uwapo na hekima ni rahisi kufunzwa na kujifunza jambo, ila ujifanyapo mjuaji huenda ikakugharimu, ninachoweza kukwambia ni kwamba kuna ushahidi lukuki kuhusu Sept 11 na kuna...
Nadhani huwafahamu vizuri Wa-Israeli, unahitaji kuisaka elimu juu ya Israel na hasara waliyoitia dunia na mauaji waliyosababisha hapa duniani ikiwepo 9/11.....
Nilikuwa sifahamu ila nimepitia baadhi ya taarifa kwenye mitandao na TV Programs kuhusiana na uhusiano wa Tanzania na Israel, serikali ya Tanzania imeshindwa kuzingatia sera ya Nyerere iliyokuwa ikiambatana na sera ya Mandela kwenye Apartheid.
Nyerere alionyesha nia kubwa ya kuisaidia serikali...
Nimesikiliza hotuba nyingi za Mh. Rais na hata maswali anayoulizwa na nimegundua namna yake ya kujibu maswali ya wananchi hairidhishi, kwa maana nyengine hujibu bila kuheshimu swali kwa taadhima na kuligeuza swali kama jepesi jepesi na kujibu anavyoamua bila kuzingatia kufanya hivyo kunatupa...
Nimesikiliza hotuba nyingi za Mh. Rais na hata maswali anayoulizwa na nimegundua namna yake ya kujibu maswali ya wananchi hairidhishi, kwa maana nyengine hujibu bila kuheshimu swali kwa taadhima na kuligeuza swali kama jepesi jepesi na kujibu anavyoamua bila kuzingatia kufanya hivyo kunatupa...
Kama wanaongea Kiswahili wanakaribishwa, si unajua nchi yetu haina ubaguzi wa rangi na ni somo halijawaingia watanzania kiasi cha kuwa wabaguzi wa rangi.
Mimi najiuliza tu ; hivi hizi pembe za ndovu zinapokamatwa zinapelekwa wapi? Na kama huwa zinauzwa mbona mapato yake hayako wazi kwa wananchi? Na naona kama wakikamata hata tani 1 ndio wanazitumia kulemaza umma kujua serikali inawajibika saaaana kumbe tani kibao hazikamatwi. Wewe una maoni gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.