Recent content by LS163

  1. L

    JamiiForums Tanzania Polepole episode 5 ni dk 50 zijazo ila anaweza kuwahi pia

    Hii ni ishara ya Laana ikifanya kazi yake. Bado tutashuhudia mengi.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kauli ya "Katiba ni kijitabu tu" ya Rais Samia ni kosa kubwa la kiuongozi

    Ninakuelewa ndugu, Mwanamke ni kiongozi wa watoto [ngazi ya familia],mamlaka ya kutawala/kuongoza Taifa ni jukumu/wajibu wa mwanaume [turejee asili ya uumbaji],watu/jamii/taifa linalo mcha MUNGU,kamwe hawawezi kumsimamisha mwanamke kuwa kiongozi/mtawala wa Taifa. Tanzania tuliletewa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kauli ya "Katiba ni kijitabu tu" ya Rais Samia ni kosa kubwa la kiuongozi

    Ni Taifa gani lililowahi kutawaliwa/kuongozwa na mwanamke na likawa na,atokeo mazuri? Tulikosea pakubwa sana,tujifunze kwa matokeo haya.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikina katika ngono na Manii

    Huyu mtu alilogwa na baba yake mzazi ili aharibikiwe kabisa kimaisha na ikibidi afe kabisa,ila Mungu akalinda uhai wake, lakini kimaisha/kiuchumi ameharibikiwa sana .Alipoteza kazi nzuri,marafiki wazuri wote,uwezo aliokuwa nao kabla,heshima pamoja na upendo. Hali hii imemkuta tangu mwaka 2004...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Sikujua IGP Camilius Wambura ni mahiri hivi; system ya nchi yetu haijakosea, ni mtu sahihi, nchi iko mikono salama

    Unajua kuna damu za watu wangapi zinamlilia kwa kudhulumu uhai wao? Unajua kuna watu wangapi wapo jela kwa kubambikizwa kesi kukosababishwa nayeye? Unajua kuna watu wangapi [polisi]waliodhulumiwa ajira zao kwa chuki binafsi za mtu huyu? Acha mihemko ndg, Ingekuwa tawala zetu zinazingatia sheria...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwamba Yesu alitaja jina "AHMAD" ambae ni (Muhammad saw) kama mkombozi wa ukweli wa yahudi ?

    Hii ni dalili/ishara ya kuchanganyikiwa,wahi tiba ndg. Uislamu ni dini/imani pandikizi ya Roman Catholic. Msilazimishe porojo zenu kuwa ukweli,hamtafanikiwa hata Kristo atakaporudi tena kuwakomboa walio wake na kuwahukumu waovu wote akiwemo huyo mudy wenu [Mohammad]
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt Samia, watanzania tunajivunia wewe kuwa Rais Wetu

    Wewe na huyo mama/bibi yako,ni LAANA iliyoipata taifa la Tanganyika.😭😭
  8. L

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

    Ni udhihirisho wa kiwango cha ujinga uliopo kwa baadhi ya watz kuamini kuwa kujua na kuongea kiingereza ndio usomi,...hovyo sana.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya intelijensia ya Kanisa Katoliki(Roman Catholic Church)Je Ni Tishio kwa "Regime"

    Mfano halisi ni kilichotokea Rwanda na kusababisha mauaji ya kimbari.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mungu aliumba vimelea vya magonjwa kama EBOLA, UKIMWI, KANSA, MALARIA ambavyo vinaua mamilioni ya watoto wadogo wasio na makosa yoyote?

    Ugonjwa/magonjwa hayana umuhimu wowote kwa mwanadamu,ni kama ilivyo kifo...Haya ni majanga yanayo tupata wanadamu kwasababu ya dhambi [Adam na Hawa pale Eden],kwa ufupi tu,.. magonjwa,vifo/kifo,vita na mabaya yote tunayo ishi nayo,...NI MATOKEO YA DHAMBI.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mungu aliumba vimelea vya magonjwa kama EBOLA, UKIMWI, KANSA, MALARIA ambavyo vinaua mamilioni ya watoto wadogo wasio na makosa yoyote?

    Ninakiri kuwa magonjwa yalikuwepo hata kabla ya kuwepo hizi taasisi. Tukumbuke pia kuwa nyakati hazifanani/hazilingani,hali ya kiwango cha elimu na maarifa kilivyo karne hii,hatuwezi kuilinganisha kilivyokuwa wakati wa Kristo/Yesu au hata kabla hajazaliwa [kipindi cha manabii]. Ukuaji wa sayansi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mungu aliumba vimelea vya magonjwa kama EBOLA, UKIMWI, KANSA, MALARIA ambavyo vinaua mamilioni ya watoto wadogo wasio na makosa yoyote?

    MUNGU hana muda wa kufanya ujinga/upuuzi. UKIMWI/HIV,Saratani,Ebola, COVID 19, Dengue,n.k.....zooote hizo ni kazi ya mikono ya wanadamu. Hizo ni kazi za WHO->chini ya kitengo cha magonjwa ya mlipuko,ikiratibiwa na UN na VATICAN. Ni sehemu ya mpango mkakati wa kupunguza idadi ya watu duniani...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ndogo sana kati ya Umoja wa Mataifa (UN) na Kanisa Katoliki,kushindana nao ni kujitafutia matatizo

    Ninakusahihisha kidogo mkuu; Papa ndiye Mw/kiti wa UN[Umoja wa Mataifa].Papa akisha chaguliwa na kupitishwa rasmi kuongoza taasisi ya kidini [Roman Catholic], automatically anakuwa ndiye Mwenyekiti wa UN,Katibu Mkuu wa UN huchaguliwa kwa kura,pia huwa na muda wa kuongoza,muda wake ukiisha...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akipigwa picha za uchi, au kuvujisha picha za uchi huyo asitegemee kupata mwanaume wa maana maisha yake yote ndo imetoka hiyo

    Watu wa aina yako mnatuchosha kusoma maandishi yenu yasiyo eleweka,jifunzeni kujua matumizi sahihi ya herufi. Luka=>ni jina la mtu, ruka=>kitendo [jump]. harafu=⁉️😱 MNACHOSHA!!.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mungu tunayemwabudu ni huyu aliyeamuru kufanyika mauaji ya kimbari?

    Kinachoendelea Gaza ni sehemu ya mipango ya Rumi [Vatican],UN na Marekani. Mpango huo ulidhihirishwa mwaka 2012 kwa njia ya sanaa ya mchoro; Itazame vizuri na kwa utulivu hii sanaa ya mchoro,imeweka wazi mpango mzima wa vurugu na machafuko yanayoendelea duniani nyakati hizi,namna chokochoko za...
Back
Top Bottom