Recent content by Lpt

  1. L

    JamiiForums Tanzania Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Walishawatumia ujumbe PM kwao na leo wanawakabidhi zawadi. Ila kiuhalisia wanakosea sana waweke wazi hapa kuwa Uzi ulioshinda ni huu na zilizoingia 20 bora ni hizi. Kukiwa na uwazi hakuna shida ila kama wanafanya kwa kificho kuna walakini
  2. L

    JamiiForums Tanzania Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Kwa mujibu wa tangazo ni kukabidhi zawadi kwa washindi
  3. L

    JamiiForums Tanzania Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Wametangaza Instagram kuwa leo kuanzia saa 12 jioni kutakuwa na hafla ya kukabidhi washindi zawadi zao
  4. L

    JamiiForums Tanzania Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Hivi washindi mnawatangazaje? Au tayari watu wameshajifahamu?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kuna uhitaji mkubwa wa elimu ya uandaaji wa mbolea ya asili

    Habari za wakati huu watanzania wenzangu. Kuna makala niliweka humu juu ya uandaji wa mbolea ya samadi ya maji kwa ajili ya matumizi ya bustani na shamba kiujumla. Kulingana na watu walionitafuta kuhitaji kujua zaidi na mrejesho ninaoupata kwa walioanza kutumia hakika ninapata faraja kubwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Washindi walishatangazwa?
  7. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Mkuu hapa nimekuelewa. Kura yangu umepata
  8. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Namna nilivyoweza kupunguza gharama za kilimo kwa kutengeneza mbolea yenye uwezo mkubwa wa ajabu

    Sawa mkuu nashukuru kuisoma na naomba uwe mjumbe wa ukombozi wa mkulima. Naelekea hapo thread hiyo muda huu
  9. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Namna nilivyoweza kupunguza gharama za kilimo kwa kutengeneza mbolea yenye uwezo mkubwa wa ajabu

    Mbolea hii inafanya vizuri sana. Tena kama watu wakiwa na umoja wanaweza tengeneza pamoja wakagawana. Lengo ni kuhakikisha tusishindwe kuzalisha vyakula kutokana na gharama kubwa sana pembejeo za kilimo
  10. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Namna nilivyoweza kupunguza gharama za kilimo kwa kutengeneza mbolea yenye uwezo mkubwa wa ajabu

    Thank you. Karibu sana. Vote for it please
  11. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Namna nilivyoweza kupunguza gharama za kilimo kwa kutengeneza mbolea yenye uwezo mkubwa wa ajabu

    Kilimo tangu nyakati za uhuru mpaka leo hii ndiyo sekta pekee inayoajiri asilimia kubwa ya watanzania. Inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya watanzania wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta ya kilimo. Na kilimo imekuwa mhimili mkubwa wa maisha ya kila siku ya watanzania wengi. Pamoja na kuwa kilimo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Wakuu habari za muda huu. Naombeni kufahamu Sheria inasemaje kwa mtu anayetaka kurudi kwenye Utumishi wa umma baada ya kuacha au kuachishwa kazi ? Taratibu zipoje?
Back
Top Bottom