Recent content by Loxodona

  1. L

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia Mkoani Mwanza yagusa mioyo ya mamilioni ya Watanzania. Apongezwa kila kona ya Nchi

    Labda walikuwa wanalilia Bandari Yao. Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
  2. L

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia Mkoani Mwanza yagusa mioyo ya mamilioni ya Watanzania. Apongezwa kila kona ya Nchi

    Haa haa haaa. Njaa Mbaya Sana. Huyu naye anajifanya mbunifu, huu si a mere uchawa huu?? Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
  3. L

    JamiiForums Tanzania PEST CONSULT: Huduma ya Fumigation

    Pest Consult ni Kampuni iliyosajiriwa nchini Tanzania na kuruhusiwa kutoa huduma ya Fumigation/Kudhibiti Visumbufu (Pests) na Magugu. Huduma zetu ni bora na zinatolewa kwa misingi ya kisayansi na wataalam waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha. Ofisi zetu zipo eneo la Mianzini jijini Arusha na...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Pest Consult: Huduma ya Fumigation

    Pest Consult ni Kampuni iliyosajiriwa nchini Tanzania na kuruhusiwa kutoa huduma ya Fumigation/Kudhibiti Visumbufu (Pests). Kampuni yetu inauzoefu wa kutosha na huduma zetu zinatolewa Kwa misingi ya kisayansi. Tunawakaribisha wote wenye changamoto na mnaosumbuliwa na Mende, Panya, Kunguni...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

    Mwigulu anapaswa afaham kuwa Rais HAPANGIWI, Tena akipangiwa ndio hafanyi kbs. Kwa voice ya the late JPM
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli, karibu Morogoro kwa Chifu King'alu Mwana wa Chifu Msumi

    Jamaa yupo kimkakati Ila changamoto anayokumbana nayo ni kukosa ushawishi kwenye Jamii. Kwa anachokiandikaga humu jamvini hata hao anaowasifia wanamwona Hana Haiba ya Uongozi anaoutafuta Kwa nguvu zote.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli, karibu Morogoro kwa Chifu King'alu Mwana wa Chifu Msumi

    Huyu Kada hana Uchumi wa Maneno. Who will waste time kusoma gazeti lake hili?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

    Pole Kiongozi. Nadhan kuna Ile sauti inakujia.......UHURU, HAKI na MAENDELEO YA WATU.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

    Kama kuna changamoto kubwa Nchini basi ni kuwa na watu wengi wasiojielewa. Unataka kusema tufiche ukweli Ili kusiwe na lockdown? Au Ili twende makazini?? Ndugu unajiona mfanyakazi Bora Kwa vile Corona virus hajakutight. Akikutight vizuri hiyo kazi hutoikumbuka na wala hutokumbuka kama umeajiriwa.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

    Huyo ni Kiongozi wa Taasisi Hana Mamlaka kivipi?? Ni moja ya majukumu yake ya Kila Siku kuhakikisha usalama wa wanafunzi unapatikana.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

    Sio tu tamaa ya Fedha Bali Kwa uoga wa kujiajiri. Hao ndio think tanks wa Taifa. Nonsense kabisa. Wanataka kuaminisha umma kuwa hakuna Tatizo la Covid 19?? Wao wamepata wapi takwimu za kumpinga mwenzao aliyetoa takwimu hata kama sio accurate kivile? Hawa ndio Mzee Mkapa alikuwa anawaita...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

    Ila hili Nina la Bobi ni la Longi sana. Sijui lilicopiwa wapi.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

    Story za mitaani hizi
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

    Kwa haya masharti. Naweza sema ni Bora niachane nao. Mbwa Aina gani anaweza kuwa rafiki wa watu kirahisi??
  15. L

    JamiiForums Tanzania Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

    You are very right. Kuna factors nyingi zinazosababisha sehem uione nzuri au mbaya. Factors nyingine zinasababishwa na wewe mkazi wa Nchi husika. Kama umeenda kwa watu unataka ufanye uhalifu for sure Nchi za watu utaziona mbaya Mana wamejipanga. So kwa wewe mwenye ajira mkononi. Better uende...
Back
Top Bottom