ushindani una involve positive motivation tu , international schools na some private schools hapo tz hawana huu utaratibu ina maana utasema hawana ushindani?
hujanielewa ,unaogea kitu tofauti kabisa,mi naongelea ushindanishwa na wenzako DARASANI mkapangwa results zenu na kuambiwa wewe wa kwanza na wewe wa mwisho ni utaratibu mbovu hauna faida yoyote .developed countries hawana kabisa, nitajie nchi moja tu , hutaipata ,thats why hata international...
hakuna mahali nimesema wasigrade matokeo , soma tena tafadhali. grading nikiwa na maana scores/percentage za kila mwanafunzi . nilichosema kupanga mtu wa kwanza mpaka wa mwisho ni utaratibu wa hovyo hauna faida.hupanga mtu wa kwanza mpaka wa mwisho na kuwatangazia wanafunzi wewe sara umekuwa wa...
1. watanzania mnacomplicate sana mambo ndio sababu nchi hii itaendelea kubakia nyuma maana you are defeated before you start international schools zote na some private schools zinatumia utaratibu huu na watoto wanafanya vizuri why umeishaona ni kitu hakiwezekani wakati wengine wanaweza.
2. Ndio...
watahudhuria wachache sana au utakuta hukohuko wameunda group lao peke yao ni waoga sana kujichanganya ndio maana wengi hawapendi kusafiri..it sad kwa kweli
Boss hujaelewa kabisa nilichoandika,wapi nimesema wanaangalia mitihani ya zamani. Uliza international schools zote hapo tanzania kama wanapangaga mtu wa kwanza mpak wa mwisho.hawafanyagi ujinga huo maana wanafocus on positive motivation. na haizuii mtu kuingia Ivy League school na college zote...
ha ha bro usinichekeshe , theres no common reality dunia hii, your reality is direct proportion to your state of mind. reality ya mtubado hana uhakika na basic needs haifanani na mtu aliyeself actualized
labda nikujibu kutumia mfano lets say wewe unafanya kazi ofisini, kila baada ya miezi 6 unakuwa evaluated na matokeo yenu yanapangwa na boss wa kwanza mpaka wa mwisho na mnasomewa unafikiri hio ni njia bora ya kukufanya ufanye kazi kwa bidii,how about self esteem na motivation zitakuwepo baada...
kuna mawili either hujasoma info nzima au hujaelewa ulichosoma maana hilo swali litaulizwa na mtu ambae hakuelewa. pili, niassume umeskim tu ,kuna watanzani milion sitini na ushee mi nikiongelea drop na wewe ukaongelea oz kuna tatizo gani. wewe umeongelea ipi? au kazi yako ni kusubiri wengine...
Hii sasa ndio wrong thinking kwenye issue hii,probably na decision makers wana thinking hii maanake imekuwa normal japo haifai. mfano wewe kila nusu mwaka kazini kwako ungekuwa unakuwa evaluated kwa kuaibishwa ungeipenda kazi yako,je self esteem ingekuwaje?ungekuwa motivated nayo , ungeperform...
not to disrespect you but that's a cheap argument ,all children have potential to do great ,why subject them kwenye utaratibu wa hovyo simply because of your limitations, that not fair to them
Amen to that, kweli zote zinafanya hivyo maana zinaenda na education system za nje.Ni ajabu hapa wengi wanaona haiwezekani mpak nikawaza ukute hata viongozi yawezekana pia wanaona haiwezekani ndio maana huu mtindo mbovu upo mpaka leo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.