Je, hapo ofisini kwenu hakuna mtu kaja na kazi ya meta analysis mkazingua? Nilete ushahidi? Je, hakuna mtu hapo ofisini kwenu kawaletea kazi pure qualitative mkashindwa hata kujua software tu ya kufanyia analysis? Nilete ushahidi? Je, hakuna mtu hapo ofisini kwenu kaja na kazi inayohitaji...