Recent content by Love it or Hate it

  1. L

    Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Kweli Hon. Zitto. Pia, nafikiri hio inaweza kua reference nzuri ya baadaye kama litatokea tena tatizo kama hili, lakini hawa vichwa panzi magoigoi wasiposema uchochezi, hii ngoma ya corona ilikua ni kuikwepa sababu imekuja kama ngumi nzito kwenye masumbwi, daah nchi yangu.
  2. L

    Kambi ya Iran yashambuliwa,18 wafariki

    swala zima nikurusha ngumi idf wanapiga popote wale scout wa revolutionary guards Iraq,syria, na kwengineko lakini lini revolutionary guards kawapiga idf direct yani unapigwa then wewe unapiga kwa kujificha kwa mgongo wa Hezbollah dooh! nyie endeleeni tu kuwapiga civilians vita ni miaka 200...
  3. L

    Kambi ya Iran yashambuliwa,18 wafariki

    lakini nyie wapambe wa iran mbona mnagongwa na kugongeka daily lakini hamrushi hata ngumi tujue kua mpo hai vitisho vingi eti mnamiliki makombora yatumieni kwanza siku ikitokea direct war na Israel ataziharibu siraha zenu huko huko iran waulizeni mashemeji zenu apo middle east 6 days war kichapo...
  4. L

    Jeshi la Israel limekimbia camp Aibu ya Mwaka 2019

    yaani mtu anawagongea kwenu Lebanon, kwamashemeji zako Syria anakugonga tena, Iraq nako kwa wajomba zako amekugongea, akimbie kwake aende wapi sasa stori kakupa haji manara nini acha utani .
  5. L

    Kamanda wa jeshi la Israel auawa kwenye operesheni ya Hezbollah

    hizi habari unazitoa wapi? lazima facebook inahusika dooh,
Back
Top Bottom