Hello..
Wale wapenzi wa kunukia vizuri karibuni kujipatia perfume nzuri na classic kutoka uturuki kwa bei sawa na bure.
Tunazo za jumla na rejareja ila hapa nitawawekea bei za rejareja ukihitaji jumla nicheki PM.
Zipo nyingi hizi ni baadhi tu.
Hapo chini zipo za elf5 elf18 elf40 kwa zile za...
Pole kwa kawaida mzigo ukichelewa sana ni miezi miwili sawa na siku 60 toka mzigo unapoanza safari sio toka unapolipia order yako. So anakuagizoa lazima akujuze siku ambayo amepeleka mzigo kwa ajili ya kuanza safari. Ila kwa mwaka mzima hunapata mzigo basi hapo hesabu maumivu
Hello guys kwa wenye interest pls nichek WhatsApp nikuonyeshe order za bidhaa tulizonazo kwa sasa ukiwa interested nazo ndo utoe oda. Hatuchukui oda ya kila kitu kwa wakati mmoja kwa mfano utakuta mwingine anataka raba za kiume mwingine anataka vyombo mwingine nguo za watoto inakuwa ngumu...
Habari wakuu
Tunakuagizia bidhaa kutoka China kwa bei nafuu sana ya kiwandani na wewe utatulipa commission kidogo pindi mzigo wako ukifika. Ofisi zetu zipo kigamboni big brother. Au unaweza kutupigia kwa namba +255656667359 au
WhatsApp +255656667359
Wale wa mikoani fursa hiyo changamkeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.