Recent content by loriko hill

  1. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Kitanzania wajitolea kwenda Siera Leon na Liberia kutibu Ebola

    hao lazima watuletee mbegu ya hiyo kitu (Ebola).yaani tumeona inachelewa kufika hivyo tumeamua kuifuata huko h uko?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

    kunalo tatizo la kimsingi ktk muungano uliopo,manake umekaa ktk mfumo wa "changu changu, chako chetu". Cha znz ni chao,lakini cha tanganyika ni cha wote!sijui kwa nn watanganyika hawalioni hili
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Rasimu ya Katiba: Sura ya Kwanza na ya Sita

    Lakini pia ifahamike kwamba wanaoamua mfumo gani utawale ktk maisha yao ya kila siku ni wananchi wenyewe.Sasa ktk hili wananchi wameshaamua kuendesha mambo yao ktk mfumo wa serikali tatu kama walivyowasilisha maoni yao kwa tume.Ia kushangaza ni wajumbe kusahau wajibu wao na kukosoa maoni ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Rasimu ya Katiba: Sura ya Kwanza na ya Sita

    nadhani wanaotetea srikali 2 wameshindwa kuonyesha waziwazi mantiki yake.hata hivyo inashangaza hilo bunge la katiba kujadili muungano bila kuwa na rejea muhimu mezani.msingi wa muungano wetu unapatikana ktk hati ya makubaliano baina ya nyerere na karume(articles of union).Hati hiyo iwekwe mzani...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete Mwisho wa Mwezi Julai: Amjibu Kagame!

    anadhani anatufahamu vilivyo kwa sabab kuna wanyarwanda wengi wamejipenyeza kwy system yetu hadi kwy vyombo nyeti km jw,polisi,tiss ikulu yenyewe nk.nadhan ni muda muafaka kuanza kuchunguzana na kuchukuliana hatua stahiki
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya ubuyu hatari kwa afya

    e bwana kwa wanaotumia kujipaka inakuwaje?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Yatokayo Bukoba Dar-Bukoba -Arusha YATEKWA

    kuna haja serikali kutoa budget ya kutosha kwa jeshi la polisi ili litimize majukumu yake vzr.kiukweli ni kwamba majambazi hayo yameanza kurudi baada ya gari la mzinga la polisi kuondolewa ktk doria kwy maeneo hayo baada ya kushindwa kuendelea na doria hizo sababu ya ukosefu wa mafuta.wakati...
Back
Top Bottom