Recent content by Lorenzo spencer

  1. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya account yangu ya ajira portal

    kwahyo hata km ukikosea huwez kubadilisha tena au kudelete account yako ukaanza upya kujisajili
  2. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya account yangu ya ajira portal

    na hyo changamoto bado hujaweza kuitatua
  3. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya account yangu ya ajira portal

    Habari za saa hizi wana jamvi , Nimejisajili na kufungua account ya ajira portal vizuri ila nlikosea kufanya usajili kwenye kipengele cha academic qualification nilikosea kujaza level ya education kwa sasa najaribu kufanya marekebisho kwenye hicho kipengele inakataa haikubali na nmejaribu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto ambaye hataki kula chakula chochote

    Huyu dawa ya minyoo anapewa Kila mwenzi na ht akikaa na watoto wenzake hali kabisa
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto ambaye hataki kula chakula chochote

    Sipo dar nko Kilimanjaro
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto ambaye hataki kula chakula chochote

    Mtoto wa jirani yangu hataki kula kabisa ana umri wa mwaka mmoja na nusu na ana kilo Tisa(9) tumeshajaribu kumpa virutubisho vya aina vyote Ila bado hataki kula tumempa km seven sea syrup, multivitamin syrup za aina tofauti na bado hali yake Iko vile vile mbaya zaidi anazidi kudhohofika kiafya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha strawberry

    Shukran sana bro
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha strawberry

    Kilimanjaro mkuu
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha strawberry

    Mimi ni mkulima wa strawberry na nmeanza kilimo Cha strawberry tangu January mwaka huu Ila bado sjafanikiwa kuona MATUNDA sjui ni wap nakosea Ila nmejitahidi kufuatilia bado sjapata ufumbuzi wa changamoto zinazonikabili ktk kilimo nnachokifanya naomba msaada wenu kwa anaejua?
Back
Top Bottom