Natumaini mko salama ningependelea kwa yeyote mwenye connection au ushauri wa kiwanda gani naweza kupata ajira haijalishi ni ya muda mfupi au laa.
Nitafanya kazi yeyote itakayokuwepo japo sina professional yeyote niliishia tu kidato cha nne. Nipo dar es salaam
Mawasiliano:+255 743 424 506
Naomba msaada ndugu naomba ninataka kufungua stationary ndo malengo yangu nilikuwa naomba estimation ya makadirio kwamba atleast natakiwa kuwa na shingapi kuanzisha stationary kwa Sar es Salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.