Nikweli kamanda ni habari njema hiyo,lakini Kama Ambassadors wenyewe wanateswa na hata wengine kwa tetesi kuwekwa Magereza Wakati wenyewe ndiyo wanayo fanikisha kwa Asilmia 99 Je?
Unadhani Hao waongoza watalii watakuwa na Amasa Kama waliyokuwa nayo mwanzo ya kufanya Marketing ?
Kitu kinacho nishangaza ni kwamba' Rais wetu na viongozi wengine bado hawajajua kusoma alama za nyakati na ndiyo maana hata wanashindwa kuona yote Waajiri wao means'wananchi tunataka'
Vivyo hivyo hata kuona utofauti Kati ya Jana na Leo'
Wafanye watakavyo kwa hichi kipindi maana wenyewe ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.