Wakuu,
Heshima kwenu,
Maoni ya Wazanzibari wengi baada ya kulishwa propaganda na UAMSHO (a.k.a CUF) ni kwamba wanataka "Muungano wa Mkataba." Mzee wetu Warioba alishangazwa sana na dhana hii mpaka aliuliza kujuzwa maana yake nini hii kitu "Muungano wa Mkataba." Ni kama vile kuna "Muungano Usio...
Huyu Ngoyayi alivyokomalia kutenganisha Uenyekiti wa Chama na Urais unafikiri alichokuwa anakitaka ni nini? Wewe unasubiri aseme "nataka Uenyekiti" ndio uthibitishe kuwa kweli anautaka?
Be serious plse!
Warioba alichotumwa kwa mujibu wa Sheria ni kukusanya maoni kuhusu uundwaji wa Katiba ya JMT! Hayo ya kukusanya maoni kuhusu Katiba ya Tanganyika ameyafanya kwa mujibu wa Sheria ipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.