Search results

  1. LordJustice1

    Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi aonya vurugu CHADEMA

    Mbona Dr Slaa amefanyiwa fujo kule Kigoma na wafuasi wa Zitto alikuwa kimya?
  2. LordJustice1

    Muungano Usio wa Mkataba: "Penzi lile lile kwa Staili Mpya!!"

    Wakuu, Heshima kwenu, Maoni ya Wazanzibari wengi baada ya kulishwa propaganda na UAMSHO (a.k.a CUF) ni kwamba wanataka "Muungano wa Mkataba." Mzee wetu Warioba alishangazwa sana na dhana hii mpaka aliuliza kujuzwa maana yake nini hii kitu "Muungano wa Mkataba." Ni kama vile kuna "Muungano Usio...
  3. LordJustice1

    Zitto ajilipua: Asema wapinzani wakishika dola raia hawatapona

    Haya magazeti nayo yanachochea kuni bure, hayo ya akina Prof Safari yamepenyezwa kiaina in favour ya Zitto!
  4. LordJustice1

    Lowassa na kofia mbili, Zitto na udhaifu wa Mbowe

    Huyu Ngoyayi alivyokomalia kutenganisha Uenyekiti wa Chama na Urais unafikiri alichokuwa anakitaka ni nini? Wewe unasubiri aseme "nataka Uenyekiti" ndio uthibitishe kuwa kweli anautaka? Be serious plse!
  5. LordJustice1

    Lowassa na kofia mbili, Zitto na udhaifu wa Mbowe

    Acha kuwashwawashwa!
  6. LordJustice1

    Katiba ya Tanganyika inawezekana kwa miezi mitatu

    Warioba alichotumwa kwa mujibu wa Sheria ni kukusanya maoni kuhusu uundwaji wa Katiba ya JMT! Hayo ya kukusanya maoni kuhusu Katiba ya Tanganyika ameyafanya kwa mujibu wa Sheria ipi?
  7. LordJustice1

    Mzanzibari: Hayo magari 90 toka China si wangetupa hata ma5? Ndiyo maana tunataka serikali 3

    Mkuu umeshamaliza kila kitu, ngoja tuendelee na mada nyinginezo, hasa za yule kirusi ndani ya CDM, ZZK!
  8. LordJustice1

    Ombi Maalum Kwa JK!

    Watetezi walio wengi wa kauli ya kejeli ya JK dhidi Mwanasheria Tundu Lissu hawaeleweki!
  9. LordJustice1

    CHADEMA yaitisha kikao cha Kamati Kuu

    Sijaona ile korasi ya magamba ya Udini, labda ilisahaulika kidogo!
  10. LordJustice1

    CCM: Bado sisi tunataka serikali mbili hatutaki serikali tatu ndo msimamo wa chama.

    Tusikimbilie kuwahukumu, labda Sefue alikuwa anamaanisha Katiba ya CCM maana Katiba ya Nchi haitokani na misimamo ya Chama!
  11. LordJustice1

    Ex-Rwandan spy boss (Col Patrick Karegeya) 'assassinated' in Johannesburg (South Africa)

    Mimi sijawahi kuona/kusikia Rais ambaye sio dikteta! Wanachotofautiana ni kiwango tu!
  12. LordJustice1

    Ombi Maalum Kwa JK!

    Na wewe unakuwa too general kama JK!
  13. LordJustice1

    Ombi Maalum Kwa JK!

    Kuchanganya sheria na kuwachanganya wengine ni issue ndogo?
  14. LordJustice1

    Ombi Maalum Kwa JK!

    Heri ya Mwaka Mpya, 2014 mkuu!
  15. LordJustice1

    Ombi Maalum Kwa JK!

    Hiyo kesi inahusianaje na kauli ya JK?
  16. LordJustice1

    Ombi Maalum Kwa JK!

    Huyo "mgonjwa" anayetakiwa kutafakari ndio nani? Na kama huyo unayemdai Daktari hajui kutibu kwa nini asiambiwe hata kama mgonjwa kapona kwani huenda mgojwa amemwamini Mungu tu akamponya?
  17. LordJustice1

    Ombi Maalum Kwa JK!

    Fafanua!
  18. LordJustice1

    Ombi Maalum Kwa JK!

    Khaaaa...!
  19. LordJustice1

    Ombi Maalum Kwa JK!

    Umejiunga lini huko Mirembe?
  20. LordJustice1

    Ombi Maalum Kwa JK!

    Hueleweki kama JK!
Back
Top Bottom