faida ni kufungua lako mwenyewe, napambana ipo siku ntaweka goli, bro sasa hv nina pumzi kidogo ila siku nimepost hii kitu kaka huwez amini nilikua kwenye hali mbaya sana, Nimeona umuhimu wa ku share jambo na watu hata ushauri tu huwa unasaidia sana na kutia moyo mno
nilishafanya kazi kwenye restaurant kadhaa na bar kadhaa, nimeshapika sana pizza na bbq mkuu, hata kitimoto niko fit lakini kuna kukata tamaa flani iliniingia na kukatishwa tamaa pia
nilifanya sana hizo na ndio nilipata ka mtaji wa kufungua hostel, ila juzi kati nimekutana na neema kidogo naona hali si mbaya.
Tatizo ni kuzungukana, biashara za partnership huku kwetu ni changamoto sana, ukim link mtu na mgeni ndio mwisho wa ww kuwa na uhusinao na huyo mgeni kwa maneno atakayo...
Bach ilikua Tumaini university na master’s ni Uhasibu arusha.
Magu alituweka kwa ahadi kibao za ajira baadae akatumwaga kama unakumbuka alisema amesha apisha ma ofisa wa kutosha na hana mpango wa ajira tena, baada ya mwezi tukatolewa op magu wote japo wengine wenye mibuyu mizito walibaki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.