Recent content by Lord Sauron

  1. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) Afariki Dunia

    Pole Kamanda Sugu. R I P mama Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu awapa za uso wale wanaokacha vyama vyao kwa kisingizio cha kuunga mkono ‘juhudi’ za Serikali ya awamu ya 5

    ...ruling anarchy? Duh mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    JamiiForums Tanzania GPA ya 32, maandiko yametimia

    Propaganda ni sehemu tu ya Psychological Warfare Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    JamiiForums Tanzania GPA ya 32, maandiko yametimia

    ....To make a mountain out of a molehill... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ukiona Balozi za nje zimeanza kutoa matamko kuhusu hali ya kisiasa nchini ujue kuna jambo

    Hii kujifariji kwa ' Here comes my big brother to beat your brains in' inadhalilisha sana. Pengine nakosea lakini kwa muda mrefu sana nimethubutu kuamini kwamba sisi waafrika ni binadamu kama binadamu wengine na kwamba utafika wakati nasi tuta kua kisayansi, kifikra, kijamii na hata kwenye siasa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Same, Kilimanjaro: Diwani kata ya Vumari, John Msofe(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

    Wanaohama wamechokwa na pande zote!
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa kikabila katika shule za Wamasai

    Ukiacha utenganisho wa jinsia ambao angalau una udhuru katika shule za mabweni za msingi na upili, ubaguzi wa aina yoyote, hasa ukabila, haufai kabisa. Nashindwa kupata picha itakuwaje kama kila mpigaji anayetaka kuwatongoza wafadhili akianzisha shule ya wasichana au wavulana wa kabila lake kwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu CCM: Chama kimesikitishwa idadi ya wapiga kura kupungua

    Siku kodi ikizidi kupungua kwasababu hakuna kinachozalishwa ndipo watakapokuwa na sababu ya kweli ya kusikitika. 'Atlas Shrugged'
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuhama kwa wanachama: Je, CCM Zanzibar haina muda wa kutafuta wanachama?

    Anaongelea akili za wanasiasa mkuu na kwa hilo kwa kweli hii hamahama inaonesha ujima wa akili.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kuhama kwa wanachama: Je, CCM Zanzibar haina muda wa kutafuta wanachama?

    Ni kwasababu walengwa wa zoezi hili ni CHADEMA ambayo haina viti huko visiwani.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ukiishi maeneo haya jijini Dar huwezi kufanikiwa hata kidogo

    Yeah! Utajiri mwingi wa mwanzoni wa watu wenye ukwasi mkubwa duniani ni ule unaoitwa wa 'from rags to riches' yaani kutoka kwenye matambara hadi kufikia utajiri. Kuna haja ya watanzania kubadili mindset zetu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ukiishi maeneo haya jijini Dar huwezi kufanikiwa hata kidogo

    Kupata PESA nyingi! Vingine vyote ni vionjo tu. Ukiwa na pesa hata Mungu anakua upande wako. Apewaye huongezewa..and 'God is on the side of the big battalions!
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ukiishi maeneo haya jijini Dar huwezi kufanikiwa hata kidogo

    Mkuu kwenye hii dunia mafanikio ni kupata pesa tu. Full stop and long break. Hayo mengine ni zilipendwa tu kama hadithi za Esopo, mazungumzo ya alfu lela ulela au muziki wa Aurlus Mabele.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ukiishi maeneo haya jijini Dar huwezi kufanikiwa hata kidogo

    Wanaohama umaskini lazima pia wawepo mkuu. Nature is a continuum.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ukiishi maeneo haya jijini Dar huwezi kufanikiwa hata kidogo

    Na utumbo wa kuku!
Back
Top Bottom