Recent content by LORD OF THE SKIES

  1. L

    JamiiForums Dili la suala Energy kununua Pan Africa Energy: Ikulu iache kiherehere

    mimi nina maswali yafuatayo: 1. Je ni kweli serikali ilikosa dola milioni 800 ya Capital Gains Tax kama ACACIA ingenunuliwa? 2. Naomba kufaham tulipataje hesabu ya kuwa tunaidai ACACIA mining USD BILIONI 190 ? 3. Naomba kufaham je Mazungumzo na ACACIA yakulikuwa chini ya Wizara ya Madini au...
  2. L

    JamiiForums Producer John Mahundi aoa mtoto wa Rais Mwinyi

    kwa hiyo dogo ana wake wawili au vipi? nijuavyo ana mke na mtoto huyu tena mwanae mkubwa tuu
  3. L

    JamiiForums Tetesi: Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro

    Daniel Masimbusi ni yule aliyevaa tshirt nyeusi aliyekuwa anamsukuma Nape kwenye gari. muulize alikuwa wapi siku ya tukio la Lissu
  4. L

    JamiiForums Tetesi: Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro

    Angalia hii picha ukiwa wewe na RC Makonda, Herry ni huyo hapo nyuma yenu. huyu ndiye anadaiwa alimtolea Nape Nnauye bastola kule Oysterbay. Anaitwa Herry Kisanduku aka Kassimu Sniper. Nape alivyoonja joto ya jiwe leo kwa kutolewa bastola na kusukumizwa kwenye gari Polisi: Yeyote mwenye...
  5. L

    JamiiForums Ombi kwa Rais Magufuli: Mwajibishe Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage

    Nimetazama video ambayo Waziri mwijage anasema kuwa the buck stops with him kwenye masuala la kufunga viwanda visivyofanya kazi nchi hii Pia ameendelea kusema kuwa maamuzi yote ya wizara yake ya Biashara yako chini yake Sitaki kuleta politics kwenye hili lakini kutokana na ugumu na urasimu wa...
Back
Top Bottom