Recent content by lorahshop

  1. lorahshop

    JamiiForums Tanzania Wanaume hizi rangi tatu hautakiwi kuzikosa kwenye mavazi yako kama unapenda kupendeza

    Kiatu rangi nyeusi, mkanda mweusi, kiatu rangi ya kahawia na mkanda wa kahawia, kiatu rangi ya kahawa na mkanda rangi ya kahawa. Mwanaume ukivaa mkanda ukafanana na kiatu halafu umechomekea unapendeza sana, haijalishi ni nguo za mtumba au dukani. Haya kazi kwenu chukua iyo! Tafadhali zingatia...
  2. lorahshop

    JamiiForums Tanzania Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

    Now wametoa Advanced Colgate Maxifresh ila made Nigeria hovyo usinunue
  3. lorahshop

    JamiiForums Tanzania Kati ya lotion hizi ipi ni nzuri zaidi?

    Mi natumia Wix package yote ila pia kuna watu inawakataa American Dream mi ilinikataa nahisi inategemea na ngozi yako
  4. lorahshop

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kuuza socks za kiume na baadhi ya vitu kwa mtaji mdogo? Njoo tuagize

    Biashara yangu ya kwanza nimeuza socks na bado nauza kama unahitaji kufanya biashara hii au kuagiza bidhaa nyingine zenye mtaji mdogo nicheki WhatsApp 0653959285 Tembelea account yang ya instagram shop_with_lorah then njoo WhatsApp tufanye kazi
  5. lorahshop

    JamiiForums Tanzania Nauza socks nzuri kwa wanaume wapenda kupendeza

    nakutumia number iyo nicheki
  6. lorahshop

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Doormat za ndani nzuri sana

    0653959285
  7. lorahshop

    JamiiForums Tanzania Nauza socks nzuri kwa wanaume wapenda kupendeza

    Socks pea tano kwa package Free size 20000 Kwa Dar ni free delivary call/ whatsupp 0653959285
  8. lorahshop

    JamiiForums Tanzania Faida za kuvaa Soksi

    mi niauza hizo za wapenda utanashati
  9. lorahshop

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unishindi
  10. lorahshop

    JamiiForums Tanzania Unatumia sabuni gani kuogea?

    naogea detto ya lemon napenda harufu yake adi toilet ukiingia unaisikia
  11. lorahshop

    JamiiForums Tanzania Unatumia mswaki gani?

    colgate zina tofautiana qulity ambazo hazina ubora ni zile za uswazi bei chee ila kuna mswaki kuanzia 2000 na kuendelea wa colgate mzr sana na utapata mr discount mi uwa nanunua hapo
  12. lorahshop

    JamiiForums Tanzania Unatumia mswaki gani?

    Little more wana vitu vizr sana
  13. lorahshop

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  14. lorahshop

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke mchaga

    yaan ujakosea ni kweli kabisa [emoji817]
Back
Top Bottom