ki ukweli medeye hana mashiko arumeru, ujanja wake upo knye kuchangia misiba tu na kuketi karibu na mafisadi, ila kimkakati waarusha wameanza kubadilika, ilboru, mula, siwandeti, sakina, snawari, sekei kote jamaaa hakubaliki kabisa na vijana wapo tayari muda wowote kumtoa jamaa 2015, ishu...