Recent content by long'oi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Tumechoka CCM Tumechoka CCM Tumechoka CCM . . Ni kawimbo ka line moja. Kama ukikasoma hakana nguvu. Ngoja kaimbwe. Kwa wale wanaotambua hata Jeshini kuna kikosi maalum kwa ajili ya kuimba na kuwapa hamasa wanajeshi wenzao wanapokuwa mstari wa mbele vitani. Jana haka kawimbo kaliimbwa na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania CCM Inajiandaa kukabidhi nchi kwa CHADEMA-Lwaitama

    umeshakula buku saba zako
  3. L

    JamiiForums Tanzania CCM Inajiandaa kukabidhi nchi kwa CHADEMA-Lwaitama

    Katika mazingira yaliyopo CCM IMESHAANZA kuachia nchi kwa cdm na Ukawa Malumumba buku sabasaba njoni mbishe KUB Safi kwa kuhakikisha nchi inarejea katika mapigo ya moyo ya kawaida
  4. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

    Appriciated
  5. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

    Samli iliyobaki inaenda wapi
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

    Tafadhali naomba kujua samli,, kiingereza chake ama naipataje? Ushamba jameni
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mapishi ya maini fasta

    Jamani mie tu nina hobi ya kupikapika, hivyo napenda kujifunza mapishi mbalimbali.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mapishi ya maini fasta

    Kabisa Farkhina noma.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mapishi ya maini fasta

    kwa ninavyokufuatilia kimyakimya ukikubali naona nimepresent sawa. Asante
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mapishi ya maini fasta

    Wachache sana wanajua namna ya kupika maini yaive vizuri, yawe matamu ndani ya muda mfupi. Fuata recipe hii then utaenjoy Mahitaji: 1. Maini 1/2kg 2. Kitunguu kikubwa sana kimoja 3. Karoti kubwa moja 4. Hoho (Yellow, Green na Red) kila moja ikate nusu yake 5. Nyanya tatu zilizoia vizuri, ziwe...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Zitto kutimkia ACT-Tanzania?

    Wanabodi: Hoja iliyopo ni kuwa ZZK sasa ni mwanasiasa anayening'inia. Ameshikiliwa na huruma za kibinadamu kwa wale wenye maamuzi ya kumalizia kumdondosha. Kwa kusema hivi sipingani na ukweli ulio wazi kuwa ZZK ni mwanasisasa mwenye haiba kubwa ya siasa, ambaye chama chochote kingependa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA wamepoteza matumaini na chama chao na Viongozi wao

    Which best way other than this to reply a thread with no content and poor presentation, moreover, to a desparate person? Tell her to come again jamaa.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA wamepoteza matumaini na chama chao na Viongozi wao

    Mambo ya kuzingatia: 1. Very poor presentation: Juliana Shonza wewe ni graduate, tunategemea unapowasilisha hoja zako pamoja na 'content' unatakiwa kuzingatia 'punctuations', Yaani matumizi sahihi ya vituo na herufi kubwa. Kwa uchache nimekuonyesha. Hiyo kabla ya kuandika tena pre requisite ni...
  14. L

    JamiiForums Tanzania RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Nimeipenda rasimu ya katiba mpya, ila nilipoingalia kwa jicho jingine nikagundua kuna gharama kubwa sana kuifanya iwe halisi Ila always cheap is expensive. Tusiogope
Back
Top Bottom