Recent content by longino

  1. L

    Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?

    Bima za afya tunazo na bado tunaumia! Nadhani hujui unachokitetea
  2. L

    Wizi wa Fastjet, TCAA mpo kweli?

    Kwenye tickets zao kuna maelezo yanayomlinda mteja ikiwa atafanyiwa ndivyo sivyo. Naambatanishaa maelezo hayo hapa chini: Check-In Check-in counters open 2 hours before departure Departure Gate Departure gate opens 40 minutes before departure Hand Baggage (1 Item) 56 x 45 x 25cm 1...
  3. L

    Wizi wa Fastjet, TCAA mpo kweli?

    Kwenye tickets zao kuna maelezo yanayomlinda mteja ikiwa kawafanyiwa ndivyo sivyo. Naambatanisha kipengele hicho hapa chini: Check-In Check-in counters open 2 hours before departure Departure Gate Departure gate opens 40 minutes before departure Hand Baggage (1 Item) 56 x 45 x 25cm...
  4. L

    Unafiki wa baadhi ya Maaskofu wa Tanzania

    Hivi tuliwahi kujiuliza kwa nini kuna viongozi wa dini wakati Quran na Biblia zimejaa tele? Tatizo lililopo hapa ni kwamba tunatawaliwa na ushabiki. Tukiweka kando maslahi ya vyama, dini na vitu kama hivyo na kuweka mbele maslahi ya nchi, HAKIKA ukweli uko wazi
  5. L

    Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Kanda ya Ziwa walaani tamko la Jumuiya ya Kikristo Tanzania

    Nadhani kuna tatizo pande zote. Kila kukicha tunawasikia viongozi wa Chama Tawala wakihamasisha wananchi wajitokeze kwa kwa wingi kujiandikisha ili waipigie katiba pendekezwa kura ya NDIYO. Je wao ndiyo wako sahihi kuwaamulia wananchi jinsi ya kupiga kura?
  6. L

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Tafadhali tutumie namba yako maana waathirika tuko wengi.
  7. L

    Warioba Anataka Nini Hasa?

    Warioba alikuwa Mwenyekiti wa Tume na hivyo msemaji. Hata hivyo, maoni yaliyotolewa hayakuwa ya kwake peke yake. Hivyo siyo busara hata kidogo kumshambulia yeye kama mtu binafsi. Busara ni kujadili hoja na kufanya marekebisho panapostahili. Tunapoteza muda mwingi na rasirimali kujadili mtu...
  8. L

    Zitto ana siri nzito kuhusu CHADEMA na CCM na kaamua liwalo na liwe

    Hivi ni kweli tunaweza kutegemea Kamati za Bunge katika usimamizi na uendeshaji wa serikali? Kwa uwezo upi walio nao kitaaluma? Mimi nafikiri kama kamati hizi zinaona kuna kasoro mahali fulani ingekuwa vyema kushughulika na vyombo vya usimamizi wa eneo husika na siyo taasisi au chama moja kwa moja
  9. L

    Mila za wahaya

    Hello all! Love, Longino
Back
Top Bottom