Recent content by Lomaa lolusa

  1. L

    JamiiForums Tanzania Je PBZ wanaruhusu kufanya topup loan... Vigezo gani wanataka

    R
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi morogoro kwaajiri ya kufuga

    Km 30 toka mjini
  3. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi morogoro kwaajiri ya kufuga

    Ninakodi eneo kwaajiri ya ufugaji.. Nimetafuta la kununua sijafanikiwa nataka nikodi
  4. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi morogoro kwaajiri ya kufuga

    Kwa aliye tayari kunikodishia anitafute tupange biashara
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ntatafuta shamba Morogoro kwaajili ya ufugaji

    Kufuga kuku, nguruwe na ng'ombe wa maziwa
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ntatafuta shamba Morogoro kwaajili ya ufugaji

    Nahitaji shamba kwaajili ya ufugaji
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mashamba kuuzwa morogoro

    Lipo km ngap tokea hospital ya kiegea
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mashamba kuuzwa morogoro

    Unauzaje
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kama bado unajitafuta toyota passo ndo usafiri sahihi

    Passo kwa mishe mishe za town ni cheap sana kuihudumia hata mafuta inatumia kidogo sana inanusa tu
  10. L

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kupata kibali cha kuendesha lodge

    Mfano nyumba tayari ipo nataka kubadilisha lodge inakuwaje... kuhusu kibali cha ujenzi
  11. L

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kupata kibali cha kuendesha lodge

    Members habari za wakati huu nauliza ni taratibu zipi za kufuata ili kupata leseni ya biashara ya lodge
  12. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya lodge

    nyumbaIpo maeneo ya Dodoma karibu na chuo cha mipango.. Ina vyumba kumi.. Nimechimba na kisima cha maji.. kwa saivi nimeipangisha lakini nataka iwe lodge.. ndomaan nataka kupata mawazo
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya lodge

    nyumbaIpo maeneo ya Dodoma karibu na chuo cha mipango.. Ina vyumba kumi.. Nimechimba na kisima cha maji.. kwa saivi nimeipangisha lakini nataka iwe lodge.. ndomaan nataka kupata mawazo ya wadau
  14. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya lodge

    Wana jamiiForums mambo vipi.. Naomba mnisaidie vitu vya muhimu kuwepo ndani ya chumba cha lodge. Ili iongeze utofauti na mvuto wa lodge.
Back
Top Bottom