Recent content by LOLA70

  1. LOLA70

    Watumia ugoro kama mbadala wa tendo la ndoa

    Kuna wazungu badala ya kuvuta cocain puani, wanatia huko(lkn dhumuni sio hilo la kukata hamu)
  2. LOLA70

    Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

    Nilishawahi kukimbiwa na rafiki* niliomchukulia kama mdogo wangu) nilikuwa nimeachana na mme, sina income, sina savings, nimehamia sehemu mpya. Nilikuwa sijui mwisho wa mwezi bills nazilipaje.
  3. LOLA70

    Kanisani naenda lakini ukweli ni kwamba matatizo mengi nimeyatatua kiasili

    Mitishamba/ tiba mbadala ni okey, lkn waganga wa kuku mweupe haa sio
  4. LOLA70

    Mpanda: Wasichana wadaiwa kufanya ngono kwa Tsh. 1000

    Badala ya kuwakamata wauzaji, wawakamate wanunuaji. Hali ya maisha ni ngumu, sio rahisi kuacha kujiuza
  5. LOLA70

    Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

    Badala ya kumuuliza mtu kama ni mwehu, mfanyie kashopping ( hata mitumba) uone kama atabadilika.
  6. LOLA70

    Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

    Ni kweli nilikuwa huko usiku wa VUKA NA CHAKO
  7. LOLA70

    Depression Itaniua

    Anza kusali, sogea karibu zaidi na mungu. Wenzetu kwa depression wanaenda kwa therapist, sisi kiafrika ni mungu, zungumza nae.
  8. LOLA70

    Jamii itambue Changamoto za Mwanaume ndoani

    Kuhusu kugawana mali baada ya divorce, je sheria ya kila mtu aondoke na alicholeta au makubaliano ya kugawa mali kabla ya ndoa yapo tz?itasaidia mtu asibaki jwenye ndoa kuogopa kupoteza alichokijenga .
  9. LOLA70

    Nahitaji kuacha kunywa pombe

    Acha na uanze kufanya mazoezi
  10. LOLA70

    Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

    Msichana akianza kujamiana maziwa yanakuwa makubwa!!! Sio kweli, ni maumbile yake tuu
  11. LOLA70

    Mnaotaka kusoma kozi za afya msijisumbue kuomba chuo cha Kigamboni City College

    Nani anatoa vibali vya kuanzisha chuo hata taa jamani?
Back
Top Bottom