Recent content by lokation hd

  1. lokation hd

    JamiiForums SoC01 Kwanini ndoa nyingi za nyakati hizi huwa hazidumu

    Akili ya wanandoa tu, kwanza siku hizi hakuna ndoa, Kuna kujaribu kuishi nyumba moja jinsia mbili tofauti tu,
  2. lokation hd

    JamiiForums Argentina: Kiongozi wa Kanisa mahakamani kwa kuwanyanyasa kijinsia wanaume

    Kashfa zipo kwa kiwango kikubwa sana, Ila wanandoa na viongozi wa kiimani ni jamii 2 tofauti, na zinatazamwa pia kwa utofauti mmubwa sana
  3. lokation hd

    JamiiForums Msaada anayejua Dawa ya Mafua inayoponyesha kwa haraka

    Kunywa maji ya malimau, dawa nzuri
  4. lokation hd

    JamiiForums Argentina: Kiongozi wa Kanisa mahakamani kwa kuwanyanyasa kijinsia wanaume

    Tuzidi kuliombea sana kanisa
  5. lokation hd

    JamiiForums Argentina: Kiongozi wa Kanisa mahakamani kwa kuwanyanyasa kijinsia wanaume

    Elimu inahitajikà zaidi kwa viongozi wetu hawa wa kiroho, ifike mahali kanisa lione umuhimu wa kuwaruhusu kuoa Ili kupunguza hizi kashfa, nao ni binadam waliokamilika
  6. lokation hd

    JamiiForums Mke wangu tangu abebe ujauzito hana hisia za kimapenzi. Nateseka sana

    Mvumilie kwani Kila mwanamama ana aina yake ya mabadiliko kipindi akiwa mjamzito kaka, tumia busara zako zote ipindi hiki kigumu kwako na kwake pia, ndio upendo wa kweli kumvumilia
  7. lokation hd

    JamiiForums Kibonzo cha Masoud Kipanya leo nimeshindwa kukielewa kabisa

    Maana halisi anayo mwenyewe, labda samaki wamekuwa huru sana mpaka wanajiachia hadharani, hawana wa kumhofia tena,
  8. lokation hd

    JamiiForums Kibonzo cha Masoud Kipanya leo nimeshindwa kukielewa kabisa

    Ujumbe uliopo ndani yake ni tafakari nzito
  9. lokation hd

    JamiiForums Used Car for Sell

    Tunauza magari toka Japan
Back
Top Bottom