Recent content by logarithmic

  1. logarithmic

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

    Steve Hana shida yyt ..apewe muda kwenye cheo chake...Hawa wasanii Ni wanafiki hakuna mfano...kwani wataji tivu ake anachukua cheo wasanii hao kina Fa na wakazi ambao hawana hata hit songs mbili si hawakuwepo??? Coz hili shirikisho walikua wanalichukulia poa tuuu. ATA vikao walikua hawaji ata...
  2. logarithmic

    JamiiForums Tanzania Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Bora umesema unabet kwa sababu waliwao Ni wengi Sana....
  3. logarithmic

    JamiiForums Tanzania Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Niwakumbushe tuu jamani.... RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAMA SAMIA SULUHU HASAN Jana aliungana na GSM ya timu yanga kwa ujumla na kupiga simu live kuwashukuru kwa Mambo makubwa wanayofanya kwa jamii kuanzia charity kwa mtoto wetu ALLY KIMARA ....kachangia 15 M kuwasapoti GSM...tafakari
  4. logarithmic

    JamiiForums Tanzania Wakati Wanaojitambua Ghana wanarudisha Raia wao kutoka Ukraine na Urusi, wale Wasiojitambua wako busy Kushangilia Bendera yao Dubai

    Nilitaka kushangaa,kumbe Ni BBC SWAHILI ....za kupewa changanya na zako zwazwa wewe,
  5. logarithmic

    JamiiForums Tanzania Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

    Hii nchi Ina vijana wa hovyo Sana,kila kitu kina garama yake,na kila kitu kina nafasi yake kwa wakati Fulani...Ni sawa na kusema kwa sababu wewe Ni maskini Basi usile vizuri...Ni uzwazwa....au kwa kuwa wewe Ni maskini haina haja ya kununua nguo Ni anasa Bora ela ukanunue chakula... stupid
  6. logarithmic

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

    Wewe jamaa ndo mkuu wa wilaya au ndo Mkurugenzi hapo Ngorongoro?? Mbona Kama unaogopa kutumbuliwa....maulid apo anahusika vipi wakati yy alikua akichambua magazeti?
  7. logarithmic

    JamiiForums Tanzania Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

    Kwa taarifa zinazosambaa,Ni kwamba amekamatwa Rombo akitaka kuvuka mpk na kwenda Mombasa ama Nairobi..alitaka kuingia Kenya.
  8. logarithmic

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amuomba Rais Samia amuachie Mbowe

    Mimi Binafsi nampongeza Sana Zitto kabwe ..ameonesha ukomavu wa level ya juu Sana ya siasa...Ameweza kuongea na raisi kwa utulivu mkubwa na kupangilia maneno yake bila jazba mihemko na hasira...nategemea kuona hekima za raisi kwenye hili jambo
  9. logarithmic

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Kwani The African princess NANDI yy anasemaje?????
  10. logarithmic

    JamiiForums Tanzania Mambo tata matatu, Uteuzi wa Jaji Kiongozi Siyani

    Nadhani majukumu yake ataendelea nayo Kama kawaida
Back
Top Bottom