Recent content by lodrick

  1. L

    Waraka maalum kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kuelezea ukabila uliokithiri idara ya uhamiaji

    Kuna kitu watu wengi hawafahamu. Historia inaonyesha wamisionary wengi walianza kueneza dini mikoa ya kaskazini mwa Tanzania. Pamoja na kueneza dini pia walijenga shule na kutoa elimu kwa watu wa maeneo hayo. Ukifatilia vizuri utaona kila penye kanisa pembeni yake kuna shule. Wachaga walinufaika...
  2. L

    JKT na ubaguzi: Shule 24 kutoa wanafunzi kujiunga JKT mwaka huu

    kwa hiyo ambao hawakuchaguliwa si watanzania? Nimeuliza kuhusu vigezo vilivyotumika kuchagua shule 24 tu. Utatusaidia zaidi kama utalijibu hilo manake inaonekana unawajua vizuri
  3. L

    JKT na ubaguzi: Shule 24 kutoa wanafunzi kujiunga JKT mwaka huu

    Kwenye thread yangu nimeongelea wingi wa shule zinazopatikana kilimanjaro, kaa ukijua pamoja na shule nyingi kuwa kilimanjaro bado haimaanishi kwamba ni wachagga na wapare tu wanaosoma hizo shule. Zina mchanganyiko wa wanafunzi from all over the country. Hili la ukanda linakuhusu wewe.
  4. L

    JKT na ubaguzi: Shule 24 kutoa wanafunzi kujiunga JKT mwaka huu

    Kupata idadi ya shule na location zake ingia Tanedu - Home JKT ni jambo zuri sana kwa vijana wetu wanaohitimu shule za secondary. Kuna mambo mengi wanajifunza huko ikiwepo nidhamu, ukakamavu, etc etc... Kama isingekuwa jambo zuri basi hapakuwa na haja yakurudisha mfumo huu wa vijana kwenda JKT...
  5. L

    JKT na ubaguzi: Shule 24 kutoa wanafunzi kujiunga JKT mwaka huu

    JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetaja shule 24 za sekondari ambazo zitatoa wanafunzi 5,000 waliomaliza kidato cha sita watakaojiunga na jeshi hilo. Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Raphael Mahuga alisema katika taarifa yake jana kuwa wanafunzi hao watatakiwa kujiunga na jeshi hilo ifikapo Machi 2...
  6. L

    Aliyekuwa kiongozi wa BAVICHA atua NCCR-Mageuzi

    3. NCCR-Mageuzi ni Chama na kipimo cha demokrasia kwa vitendo. Ni Chama ambacho hakina mtu mmoja tu kwa ajili ya nafasi ya za uongozi, yeyote ana nafasi ya kugombea nafasi anayotaka na mkutano mkuu wa Chama ndio uamue nani anafaa kuwa mgombea urais. Mfano, Mwaka 1995 Chama kilimsimamisha ndugu...
  7. L

    Aliyekuwa kiongozi wa BAVICHA atua NCCR-Mageuzi

    huyu kisandu ni oil chafu
  8. L

    Matokeo ya sensa: Tanzania ina watu 44,929,002!

    taarifa kutoka kwa mtonyaji anasema sensa ilikuwa na kipengele cha dini ila kilikuwa kimefichwa. Naskia matokeo ni kwamba waislam ndio wengi, hasa wale wa suruali fupi
  9. L

    Facts juu ya uongozi wa CHADEMA vyuo vikuu; kusema uongo ni kazi wanayoiweza...

    Tupe vigezo ulivyotumia kutambua dini za hawa viongozi. Udini utakuua ndugu yangu.
  10. L

    Hujuma zaanza 'Train ya Mwakyembe'

    Wale walioipa hii treni miezi 2 mpaka 3 iwe imekufa huenda dua zao zikajibiwa manake kwa mwendo huu mapato ni zero, watu wanakusanyia mifukoni mwao. Kesho utaambiwa shirika halina pesa ya kufanya ukarabati kwenye treni, au shirika limeshindwa kujiendesha.
  11. L

    Hujuma zaanza 'Train ya Mwakyembe'

    Hizi hujuma ni kama uongozi wa TRL wamezifumbia macho. haiwezakani treni inapakia abiria bila kuwa na ticket, au angalau mtu maalum mwenye uniform na kitambulisho anaechukua nauli. Kwa mwenendo huo hata kibaka anaweza kukusanya nauli kwenye hii treni. Kama hawana watu wakufanya hiyo kazi basi...
  12. L

    Hujuma zaanza 'Train ya Mwakyembe'

    Posted: 6th November 2012 by MillardAyo in News . millardayo.com imetumiwa hii ripoti kuhusu hujuma zilizoanza kufanywa kwenye moja kati ya treni maarufu kama treni ya Mwakyembe inayosafirisha abiria kati ya Ubungo na Posta Dar es salaam. Taarifa yenyewe inasema “Tumepandia mabibo mwisho...
  13. L

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    hata sadam hussein na Osama walikuwa na mikwara kama hii, sembuse hichi kiponda!!
  14. L

    Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    Naskia jamaa wa sensa wameshawahesabu fasta fasta hapo hapo walipokusanyika
Back
Top Bottom