Recent content by lodamuno

  1. lodamuno

    JamiiForums Tanzania Trafiki wana ghadhabu baada ya mwenzao wa Kabuku 'kulipuliwa'

    Nao pia watarudi hm
  2. lodamuno

    JamiiForums Tanzania ICJ haideal na kesi ya kuibiwa kura

    Itaanza na TZ
  3. lodamuno

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Huwezi tatua tatizo bila kujua chanzo. Vita vingi vya Africa vinatokana na vyama tawala kung'ang'ania madaraka hata baada ya kushindwa na inapelekea vita kwa kuanzishwa na wapiga kura walio wengi. Therefore kwa ICC wapo pia kuangalia visavabishi wakishindwa hilo basi si vyema wao wasubiri tu...
  4. lodamuno

    JamiiForums Tanzania Ndugu Lowassa Tafadhali, Mmependekeza Watanzania Wamekataa, na Wataishi na Uamuzi Huo

    Ccm bado hawajashinda
  5. lodamuno

    JamiiForums Tanzania TB Joshua: Utabiri na nguvu ya Mwanadamu katika kuzuia kusudio la Mungu

    Tuma clip ya TB Joshua akitabiri tuamini
  6. lodamuno

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Kura zimekamatwa kwa nagu, mwanza, songea, sumbawanga, ars magharibi, moshi. Bado mnasema hazijashikwaa
  7. lodamuno

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Sababu ameshinda kihalali
  8. lodamuno

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Maalim Self imezungukwa na wanajeshi, hakuna kutoka wala kuingia

    Kura 6,000,000 si mmziingiza ninyi msiojua hata hesabu
  9. lodamuno

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Maalim Self imezungukwa na wanajeshi, hakuna kutoka wala kuingia

    Evidence ninyi c hamna au?? Mmetuma memo zec na nec
  10. lodamuno

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Arusha wanajitambua wanafaham evaluation ww je, mwandishi wangu?
  11. lodamuno

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Kwani mtu akilia kadi ww ukatupa galasa chini mwenzako akaokota na ndiye anayecheza akakuinamisha na galasha lake c unaaga game kwa wingi wa karata??
  12. lodamuno

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Hivyo sisi tushangae sababu ninyi ni magwiji wa kuiba na kuongeza kura feki?
  13. lodamuno

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Wizi sio strategy huo ni uovu!!! Don't be that silly kuita wizi strategy nchi inakosa amani coz ya strategy zenu isiyo na grassroots. Mngeweka strategies za maendeleo na uchumi wa nchi we would have admitted but you have non other than foolish propagandas
  14. lodamuno

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu thats what we people of UKAWA say we know where we are from. Anything has a source and ours is God na Hakuna kitachotutenga na Mungu imani yetu imejikita hapo.
  15. lodamuno

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Tulishiriki sababu tume haipigi kura bali ni wananchi
Back
Top Bottom