Recent content by lock nut

  1. L

    JamiiForums Tanzania The Godfather

    Ni kweli nashangaa mtu anakaa na kuandika mada ambayo yeye mwenyewe ukimuuliza umeandika kwa maslahi ya nani?. Hajui kama ni maslahi binafsi au ya chama chake au jamii kwa ujumla. Tuongeze nguvu tuikomboe Tanzania mikononi pa mafisadi.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mengi atoa dakika 15 kwenye taarifa ya habari ITV kuelezea Kujiuzulu kwa Muhongo

    safi sana mzalendo endelea na mapenzi mema kwa taifa Tanzania. Viva Mengi. long live I T V.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Damu haina rangi ya blue..?!

    hata ingekuwa ya bluu ungeogopa kama ingeitwa damu.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Johnson Lukaza na Mwesigwa Lukaza washinda kesi ya EPA

    safi sana.........!!!!!!!!.
Back
Top Bottom